Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

Yupo chauma analamba ubwabwa kajuaje kwa jirani alipotoka? Ukiitwa mchawi unaona unaonewa?
 
Hii ndio kazi ya CHAUMA ambayo ni tawi la CCM ,hawanadi tena sera zao ila ni kuishambulia CDM
 
Hivi zama hizi za teknolojia unaweza sema kweli mtu kakimbia na 'password' za account?

Kwahiyo ina maana benki haziwezi pewa taarifa tu account ikawa blocked hata kama password zimebadilishwa.

Haya kasaini uchukue buku 7 yako kunguni wa mama .
 
Tulikubaliana hakuna kuhama chama!😂😂
Sasa jamaa amehama afu anaanza kuongea ushubwada
 
Wewe Yericko ni mtu wa ovyo kupata kutokea. Acha ushamba kuongea maneno ya kubuni. Tafuta ukweli kuliko kupanua domo lako. Mbona ulichelewa kwenda CHAUMMA, umechelewa UBWABWA. Vipi kuhusu huyo mwenyekiti wako wa CHAUMMA anayesema kuwa wanapewa pesa na CCM? Wote hapo pamoja na wewe ni wahuni.
 
Hiki kifaranga cha bata hakijui kinahitaji nini? Kishatangulizwa CHAUMA ila kila.kukicha kinazungunzia mambo ya CDM kuna tatizo.
Kwani nyie ndyo mna haki ya kuwazungumzia wengne, lakini kuzungumziwa hamtaki?
Eti wana demokrasia..

MATAPELI WAKUBWA NYIE
 
Yerico Mwili uko Kwenye ubwabwa akili bado ibo nguvu ya umma 🤣🤣🤣
 
Huyu jamaa kwanini asinadai Sera za Chama alichohamia? Kuliko kuwa kucha kuhangaika na Chadema?
Bila shaka mkuu unamaanisha "kwa nini asinadi"
Hili ndo tatizo kubwa la kumwacha/kutengana na mtu muhimu huku/bado ukiwa unampenda🙌🏽🙌🏽😝
 
Lema ni tapeli mkubwa.
 

Hii habari imeletwa na mwendawazimu ikiwalenga wenye uwendawazimu.

For you with sound mind, disregard it as we do for all that come from those with disabled brain.
 
****** kweli wewe kwani ukijibu kwa hoja bila matusi unapungukiwa na nini
 
Hii habari imeletwa na mwendawazimu ikiwalenga wenye uwendawazimu.

For you with sound mind, disregard it as we do for all that come from those with disabled brain.
Bado haujasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…