Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

Hoja za yeriko ni kupambana na cdm na sio kupambania misingi ya Chauma
Ukiona hivyo ujue bado anaikubali sana chadema, kimwili yuko chauma ila kiroho yupo chadema!
Huyu hata usiku anaweweseka kwa kuitaja taja chadema!.
Chadema ya lissu ni mwiba mchungu ndio maana figisu za dola hazikomi!
 
Hiki kifaranga cha bata hakijui kinahitaji nini? Kishatangulizwa CHAUMA ila kila.kukicha kinazungunzia mambo ya CDM kuna tatizo.
Kwahiyo nyie CDM ndio mna mandate ya kuzungumzia ACT na Chaumma?? 🤣
 
Sasa anapambana na Chadema ambayo hata uchaguzi mkuu haishiriki badala ya kudeal na CCM au ACT vyama ambavyo wanapambana navyo Oktoba
Ebu tuelewesheni vizuri msibadili gia angani kila wakati, Hamshiriki Uchaguzi au Mtazuia Uchaguzi?? Kauli za viongozi wenu zilikuwa zipi?
 
Unaenda kwenye mechi halafu unasajili mchezaji kama huyu, na anataka namba siku ya mechi. Jamaa katangaza nia ya kugombea ubunge Kigamboni, sidhani kama yuko serious kwamba watu wa Kigamboni wanataka mtu asiye na mwelekeo kama yeye.
 
Hoja za yeriko ni kupambana na cdm na sio kupambania misingi ya Chauma
Bado ana maumivu makali sana ya kushindwa huko cdm, wangalau John Mrema anaanza kuzoea kwa mbali sasa. Mashahidi wa siri kwenye kesi ya Lisu. "Ukishindwa hakuna kuhama chama" Haya ni maneno ya dhihaka ya Yericko akiamini rushwa za Mbowe zitawapa ushindi team Mbowe.
Lusungo Yericko Nyerere
 
Kwani watu sii wanaendelea kuchanga,ongeeni na makamu msimamshe watu.general election ,mambo ya ubabe wa maisha jifunzeni maisha ya wanayama porini,hawanaga excuses mmoja akizubaa anapokwa kila kitu na dominant preditor,hiyo ni next level,mnasusa uchaguzi kwa faida ya shetani,tunaomba mjifinze kupitia canvores huko mbugani.
 
Qumer
 
Sasa anapambana na Chadema ambayo hata uchaguzi mkuu haishiriki badala ya kudeal na CCM au ACT vyama ambavyo wanapambana navyo Oktoba
Haya majitu hovyo sana, seems like nguvu ya CDM ni kubwa sana.
Wanahofu kwamba watafanya kweli uchaguzi bila CDM ama vipi!.
 
Huyu nyeriko nyenyele angeacha tu hata kuhangaika na hao viongozi wa CHADEMA. Alianza na Lissu, sasa Lema na wengine atajaribu kuwachafua kwa maneno ya kike kike na vijembe vya kishoga. Yeye kesha hamia kwa wasakatonge wenzie. Aeleze nini Wabunge na madiwani wao watafanya watakapogawiwa nafasi za ubunge na udiwani na mabosi wao.

Kuhangaika na watu badala ya kujibu au kujenga hoja ni dalili wazi kuwa tayari kichwa hakiko sawa,. Yaani dishi limesha yumba.
 
Hizi ni siasa za bwawa la mavi!!! Kubwa jinga aache simplicity politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…