Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo kwa Mbowe wamejifungia ndani wanalia tuuu muda wote nimepata za chini chini Yericko kagoma mpaka kula Mbowe ndio anambembelezaMbona Yericko hatokei?
Yericko yohanes mwanzoni mwa miaka ya 2010's alikuwa akidanganya hapa JF kuwa yeye ni mtoto wa Hayati Julius Nyerere nakmbuka Ritz na @maleria sugu walimbana vilivyo wakaja na picha zake akiwa site akijenga kama fundi mchudo.Niliwahi kuskia yericko amesomea urusi degree ya electronic engineering hizi hsbari ni za ukweli kiasi gani?
Yericko hana kitu kichwani niamini mimi nduguMi nimekulia banana hii sura sio ngeni sema kama alikuwa mtu wa kanisa kanisa hivi
Niliwaambia kijana huyu janja janja nyingi ukimbananisha huwa hachelewi kuokota maweNi kweli.aisee ni.mdogo.wa.patrick yohaness mkana pichani
Yule elimu yake halali ni veta coz ya miezi 9, 2006 lakini huko anakodanganya amesomea online vyeti vyote vya mchongo kaprinti haok kariakooYericko yohanes mwanzoni mwa miaka ya 2010's alikuwa akidanganya hapa JF kuwa yeye ni mtoto wa Hayati Julius Nyerere nakmbuka Ritz na @maleria sugu walimbana vilivyo wakaja na picha zake akiwa site akijenga kama fundi mchudo.
Hapo yericko yohanes aliishiwa nguvu na uongo wake ukawa definitely!
Yericko yohanes ilibidi aingie mafichoni kwa muda.
Aliporudi hakuwa na sauti tena kuhusu hilo jina la Nyerere hata leo.
Jasusi mbobevu au tapeli tuUmaskini wa kipato shida sana .....Jasus Mbobwvu atawahenyesha sana
Uchawa nacho kipaji siku hiziYericko ana kipaji cha kipekee sana
Ogopa matapeli ndugu! Pia anajiita kafuzu ciz ya ujasusi kumbe kaprinti vyeti kariakoo jamani nyie!Yericko elimu yake anasema ana stashahada kasoma uingereza na Marekani😂😂
KabisaUchawa nacho kipaji siku hizi
Hakana hata sifa basi tu kujitututumuaUchawa nacho kipaji siku hizi
Yule hana cheti zaid ya kozi ya miez 9 ya ufund, ..hivyo vingine vya sijui ujasusi ...aliprint kariakoo ..hakuna chuo kinachomtambua kama mhitimu aliyedaihiliwaYericko elimu yake anasema ana stashahada kasoma uingereza na Marekani😂😂