Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Yeriko Nyerere Kuna HOJA muhimu aliibua majuzi kwamba,

Tangu Lissu aingie CHADEMA, ni mambo yepi ameachieve kama kiongozi ya kuonekana Kwa macho?

Natamani ni pate majibu!
 
Niliwahi kuskia yericko amesomea urusi degree ya electronic engineering hizi hsbari ni za ukweli kiasi gani?
Yericko yohanes mwanzoni mwa miaka ya 2010's alikuwa akidanganya hapa JF kuwa yeye ni mtoto wa Hayati Julius Nyerere nakmbuka Ritz na @maleria sugu walimbana vilivyo wakaja na picha zake akiwa site akijenga kama fundi mchudo.

Hapo yericko yohanes aliishiwa nguvu na uongo wake ukawa definitely!

Yericko yohanes ilibidi aingie mafichoni kwa muda.

Aliporudi hakuwa na sauti tena kuhusu hilo jina la Nyerere hata leo.
 
Ni kweli.aisee ni.mdogo.wa.patrick yohaness mkana pichani
 
Attachments

  • FB_IMG_1735463531486.jpg
    FB_IMG_1735463531486.jpg
    67.5 KB · Views: 4
Yericko yohanes mwanzoni mwa miaka ya 2010's alikuwa akidanganya hapa JF kuwa yeye ni mtoto wa Hayati Julius Nyerere nakmbuka Ritz na @maleria sugu walimbana vilivyo wakaja na picha zake akiwa site akijenga kama fundi mchudo.

Hapo yericko yohanes aliishiwa nguvu na uongo wake ukawa definitely!

Yericko yohanes ilibidi aingie mafichoni kwa muda.

Aliporudi hakuwa na sauti tena kuhusu hilo jina la Nyerere hata leo.
Yule elimu yake halali ni veta coz ya miezi 9, 2006 lakini huko anakodanganya amesomea online vyeti vyote vya mchongo kaprinti haok kariakoo
 
Steve Mengele, Yericko Mkana
Woote hawa ni vijana toka Iringa
Na woote hawa ni vijana waliowakana Baba zao na kudandia Baba wa wenzao
Vijana wa Iringa mna nini nyiee???
 
Yericko elimu yake anasema ana stashahada kasoma uingereza na Marekani😂😂
 
Yericko elimu yake anasema ana stashahada kasoma uingereza na Marekani😂😂
Ogopa matapeli ndugu! Pia anajiita kafuzu ciz ya ujasusi kumbe kaprinti vyeti kariakoo jamani nyie!
 
Yericko elimu yake anasema ana stashahada kasoma uingereza na Marekani😂😂
Yule hana cheti zaid ya kozi ya miez 9 ya ufund, ..hivyo vingine vya sijui ujasusi ...aliprint kariakoo ..hakuna chuo kinachomtambua kama mhitimu aliyedaihiliwa
 
Back
Top Bottom