Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Sawa umeeleweka ila natumaini humaanishi kuwa Mungu ni biological father wa yesu
 
Sawa umeeleweka ila natumaini humaanishi kuwa Mungu ni biological father wa yesu
Iko hivi mungu alipachika mimba kimuujiza katika tumbo la bikira Maria, ikumbukwe kuwa bikira huyo alikuwa na mchumba ake alieitwa yusufu ambaye hakuwahi kulala na Maria, then alitokewa usiku na kuambiwa kuwa mkewe atapata ujauzito naye atajifungua mtoto wa kiume na jina lake watamwita yesu...........

Nimechoka kutype ila sio mbaya chukua biblia Anza kusoma mathayo Sasa ivi utaelewa
 
Majaribu yaliwekwa ili kuona kama mwana wa MUNGU (YESU) Imani yake Iko thabiti akiwa katika umbile la kibinadamu na ili kuwatengenezea wanadamu namna wanatakiwa wawe kiimani
Kwani wewe huwa hupati majaribu?
Kwani wewe sio mwana wa mungu? Kama sio mwana wa mungu wakati unavosema 'mungu baba....' huwa unajipendekeza kumuita baba ilihali wewe sio mwanae?
 
Hao ni waarabu kaka Huwezi kushidana nao wanavuta muda wa kula daku wasije pitiliza ohooo
 
Hizo Mathayo nimesoma sana nataka nianze Mwanzo na kuendelea
 
Kwani wewe huwa hupati majaribu?
Kwani wewe sio mwana wa mungu? Kama sio mwana wa mungu wakati unavosema 'mungu baba....' huwa unajipendekeza kumuita baba ilihali wewe sio mwanae?
Hata wewe kama ni Mzazi lazima Kuna mtoto ambaye unamkubali zaidiiii ya woteeee mkuu lakini haimaanishi kwamba wengine huwapendi NO, ndo Iko hivo hata kwa mungu pia yesu ni mtoto pekee aliyeumbwa kwanza yeye kabla ya vitu vingine na viumbe wengine kwahiyo akasaidiaa uumbaji wa viumbe vingine na vitu vingine kwahiyo lazima apewe kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…