Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Kwani kuna utofauti wa usomaji?
Au biblia unageuza juu chini
Biblia haisomwi kama post za jf mkuu, inatakiwa utilize akili na uwe na maji safi,salama ya baridi pembeni then unasoma huku unatafakari
 
Yesu alimsaidia mungu kuumba kiumbe gani? Wapi mungu alihitaji msaada wakati anaumba dunia na vilivyomo? Tutumie mantiki(akili) tukishindwa kutumia maandiko.tukitumia hisia na matamanio yetu tutakua wazushi,waongo na wapotoshaji tu!
 
Nasema hivi hapo yesu alijaribiwa ni kama vile binadamu atengeneze robot alafu kimgeuke
Hahahahah daaah,

Yesu alishiriki uumbaji wa viumbe vingine vyoteee ila aliumbwa yeye KWANZA, Sasa YESU mwenyewe alikuwaje anasema Kuna aliye mkuu zaidi yake

Nb; angekuwa mungu angeweza kujiepusha na kifo kile Cha kutundikwa LAKINI aliamua kufanya kwa ajili ya mapenzi ya babake
 
Yesu alimsaidia mungu kuumba kiumbe gani? Wapi mungu alihitaji msaada wakati anaumba dunia na vilivyomo? Tutumie mantiki(akili) tukishindwa kutumia maandiko.tukitumia hisia na matamanio yetu tutakua wazushi,waongo na wapotoshaji tu!
Unasomaga biblia au ndo msoma fb posts??
 
Unasomaga biblia au ndo msoma fb posts??
Kwani we biblia huwa unasoma kutoka chini kwenda,kwamba wewe mwenzetu unaisomaje ili kujitofautiasha na wanavosoma wengine?
Je,una uhakika kuwa huo usomaji wako ndio sahihi kuliko usomaji wa wengine?
 
Kwani we biblia huwa unasoma kutoka chini kwenda,kwamba wewe mwenzetu unaisomaje ili kujitofautiasha na wanavosoma wengine?
Je,una uhakika kuwa huo usomaji wako ndio sahihi kuliko usomaji wa wengine?
Wewe unasomaga biblia ukiwa wapiii kwanza???

Au unasomaga ukiwa stressed na madeni kama ni hivo huwezi kuelewa mkuu πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…