eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Siku zote huwa najiuliza mkristo mwenye imani anamshawishi vipi mtu wa imani nyingine au mtu asiye na imani
Kwa hoja za yesu alikua ni mungu kwa 100% pia ni mtu kwa 100% na akakubaliana na hiyo imani.
Kwa maana hilo jambo haliingii akilini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
Wanalazimishia tu hawa jamaa. Kwa maana kuna mara nyingi tu Yesu anamzungumzia Mungu kuwa ni mkuu kuliko yeye. Pia kuna mmoja. Akamwita mwalimu mwema nisaidie nipate urithi. Ndugu wananinyima. Yesu alajibu akasema aliye mwema ni mmoja tu. Yaani Mungu. Hata wakati anapata mateso kabla ya kufa Yesu alilia na kusema Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?
Hata Mungu mwenyewe, muda mfupi baada ya Yesu kubatizwa sauti kubwa kutoka mbinguni ikasema "Huyu ni Mwanangu Mpendwa, ninaye pendezwa naye... endeleeni kumfuata".
Mifano ni miiingi