Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Siku zote huwa najiuliza mkristo mwenye imani anamshawishi vipi mtu wa imani nyingine au mtu asiye na imani

Kwa hoja za yesu alikua ni mungu kwa 100% pia ni mtu kwa 100% na akakubaliana na hiyo imani.

Kwa maana hilo jambo haliingii akilini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.

Wanalazimishia tu hawa jamaa. Kwa maana kuna mara nyingi tu Yesu anamzungumzia Mungu kuwa ni mkuu kuliko yeye. Pia kuna mmoja. Akamwita mwalimu mwema nisaidie nipate urithi. Ndugu wananinyima. Yesu alajibu akasema aliye mwema ni mmoja tu. Yaani Mungu. Hata wakati anapata mateso kabla ya kufa Yesu alilia na kusema Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?
Hata Mungu mwenyewe, muda mfupi baada ya Yesu kubatizwa sauti kubwa kutoka mbinguni ikasema "Huyu ni Mwanangu Mpendwa, ninaye pendezwa naye... endeleeni kumfuata".
Mifano ni miiingi
 
Yesu mwanadamu Kwa kuvaa mwili ndiye aliyejaribiwa.

Mwili una njaa ndio maana akajaribiwa ageuze jiwe kuwa mkate,

Mwili una tamaa ya macho ndio maana alijaribiwa kupata fahari na utajiri wa duniani,

Mwili una kiburi Cha Uzima, ndio maana alijaribiwa ajitupe chini.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Hiki ulichoandika hapa ni hisia na matamanio yako,hakuna sehemu yesu aliposema,wala mungu aliposema,hata shetani hakusema kuwa yesu ni mungu wakati anamjaribu.

Sijui unautoa wapi ujasiri huu wa kumzushia yesu wetu uongo.
 
Shetani " Ikiwa u mwana wa Mungu, jitupe chini, maana imeandikwa, atawaagiza Malaika wake wakulinde mguu wako usijikwae..."

Hapo umeelewa nn?
 
Unataka kuniambia Yesu hakuwa anamfahamu shetani kabla?

Na kama alikuwa anamfahamu ilikuwaje Mungu aruhusu Yesu kujaribiwa na kiumbe ambavho yeye mwenyewe ( Yesu) anakijua nje ndani?

Hiyo ni nadharia yako kuwa Yesu Hamjui shetani,kumbuka Lengo la Yesu kuletwa duniani ni kuvaa mwili wa Nyama ili awezetimiza malengo ya ukombozi.

Tukija kwenye maada ni kwamba,Mungu alijua kuwa hashindwi na kitu.
Soma hapa kuna majibu yote unayohitaji. Ni wewe tu kutaka kujua
 
Attachments

  • IMG_6343.png
    IMG_6343.png
    773.7 KB · Views: 1
Mtumishi. Pongezi kwa maelezo. Ila isije ikachanganywa Yesu na Baba ni tofauti. Yesu ana baba yake . Na huko NDIO aliyekaa katika kiti Cha enzi. Pitia vizuri Ufunuo 4 na 5.
Mungu ni MMOJA.

Akiwa KITI Cha enzi Mbinguni anaitwa Mungu baba.

Akija katika mwili wa mwanadamu,anaitwa Mungu Mwana.

Akikaa ndani ya watu wote kupitia Roho wake mtakatifu anaitwa Mungu Roho mtakatifu.

Mungu ni MMOJA tu, NAFSI Moja.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Shetani " Ikiwa u mwana wa Mungu, jitupe chini, maana imeandikwa, atawaagiza Malaika wake wakulinde mguu wako usijikwae..."

Hapo umeelewa nn?
Unasema vema,shetani anasema,"ikiwa u-mwana wa mungu,yaani kimantiki ni mtoto wa mungu kama tulivo mimi na wewe kuwa ni wana wa mungu,ndio maana yesu,wewe na mimi wote tunamuita mungu BABA!
shetani hakusema ikiwa u-mungu! Na yesu hakukanusha kuwa yeye sio mwana wa mungu!

Shetani aliposema imeandikwa atawaagiza malaika,atakayewaagiza malaika sio yesu ni mungu.
Kwa hiyo yesu alijaribiwa amjaribu mungu kuona kama je,akijirusha mungu atatimiza ahadi yake kama alivomuahidi?

Hivi unafikiri ni kwanini kwenye majaribu mengine yesu hakujibu kuwa mungu hajaribiwi,ila alijibu hivyo alivopewa jaribu la kujirusha?
 
Alijaribiwa kwenye part ya ubinadamu

Pia alibatizwa ,yote hayo ili kuonesha kielelezo kuwa as mwanadamu ukijaribiwa basi una uwezo wa KUSHINDA

As mwanadamu unatakiwa ubatizwe

Yesu aliyoyafanya kwenye part ya ubinadamu yanadhihirisha na yalithibitisha kuwa Shetani sio mshindi na mwanadamu anaweza kumshinda shetani kwa IMEANDIKWA yaani neno la Mungu.

Hivo Leo unapopata majaribu uka fail ni udhaifu wetu ila uwezo wa KUSHINDA tunao maana Yesu alionesha inawezekana
 
Unasema vema,shetani anasema,"ikiwa u-mwana wa mungu,yaani kimantiki ni mtoto wa mungu kama tulivo mimi na wewe kuwa ni wana wa mungu,ndio maana yesu,wewe na mimi wote tunamuita mungu BABA!
shetani hakusema ikiwa u-mungu! Na yesu hakukanusha kuwa yeye sio mwana wa mungu!

Shetani aliposema imeandikwa atawaagiza malaika,atakayewaagiza malaika sio yesu ni mungu.
Kwa hiyo yesu alijaribiwa amjaribu mungu kuona kama je,akijirusha mungu atatimiza ahadi yake kama alivomuahidi?

Hivi unafikiri ni kwanini kwenye majaribu mengine yesu hakujibu kuwa mungu hajaribiwi,ila alijibu hivyo alivopewa jaribu la kujirusha?
Sasa Kwa mantiki hiyo hiyo,

Iweje wayahudi kutaka kumwua Yesu Kwa kujiita Messiah, mwana wa Mungu aliye juu?

Rudi hapo kwenye mwana wa Mungu ufikiri UPYA,

Yesu ni Mwana wa Mungu asiye na baba wa kimwili, na ndio Hasa walitaka kumwua wakiamini Yusufu ni babaye wa kumzaa kimwili.

Ukifikia hapo, utajua kwanini Shetani alisema ikiwa u "Mwana wa Mungu "!
Karibu 🙏
 
Mbona wenzako wanasema ana nafsi tatu
Hakuna popote ndani ya BIBLIA umesema Mungu ana NAFSI tatu Bali Moja.

Imeandikwa" Naapa Kwa NAFSI yangu, asema BWANA."

Mungu ni MMOJA NAFSI Moja,

Ndiye huyo huyo BABA,
Ndiye huyo huyo Mwana( Yesu) ,

Ndiye huyo huyo Roho mtakatifu.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Amen
 
Yesu alikua ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja, so shetani alikua anaijaribu ile part ya mwanadamu ila sio ya Mungu
Mtaendelea kujidanganya hadi lini,yesu mwenyewe asema mnataka kuniua mimi mtu!!na kwingine kasema sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli,na kauli nyingine nyingi tu zinazodhihirisha kwamba yeye si mungu bali ni mtume,alitumwa huyu,.
Yaani nyie ni sawa na mtu anayelazimisha tairi ya corona ifungwe kwenye scania, haiwezekani kamwe,haitafiti hata siku moja.
 
Hakuna popote ndani ya BIBLIA umesema Mungu ana NAFSI tatu Bali Moja.

Imeandikwa" Naapa Kwa NAFSI yangu, asema BWANA."

Mungu ni MMOJA NAFSI Moja,

Ndiye huyo huyo BABA,
Ndiye huyo huyo Mwana( Yesu) ,

Ndiye huyo huyo Roho mtakatifu.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Amen
Kwa hiyo wanaosema ana nafsi tatu ni wa kupuuzwa
 
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
18 Kiongozi mmoja akamwuliza Yesu, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?”

19 Yesu akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna mtu aliye mwema ila Mungu peke yake.
 
Kwa hiyo wanaosema ana nafsi tatu ni wa kupuuzwa
(Yeremia 22:5)

Naapa Kwa NAFSI yangu asema BWANA.

Wanaosema Mungu ana NAFSI tatu hawana support ya maandiko.

Mungu ni MMOJA,

Ndiye Mungu BABA akiwa KITI Cha Enzi,

Ni Mungu Mwana alipokuwa duniani katika mwili Kwa KAZI ya kumuokoa mwanadamu. Na ndiye huyo huyo aliyeumba Ulimwengu akitambulika kama " NENO / Logos.

Ni Mungu huyo huyo Roho mtakatifu akaae ndani ya wote wamwaminio.

Mungu ni MMOJA NAFSI Moja,anatambulika Kwa Majina tofauti kulingana na KAZI na majukumu kiofisi,

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Sasa huelewi vipi hapo kuwa Yesu alijitambulisha kuwa ni Mungu?

Kumjibu shetani imeandikwa " Usimjaribu BWANA Mungu wako, hapo ni baada ya shetani kumusema " Ikiwa u mwana wa Mungu ".

Sasa shetani ajua Yesu alikuwa mtu katika mwili, na ni Mungu katika Roho,

Wewe kwann Fikra hazikurudii kungamua hayo?

Ila shetani hakusema ikiwa wewe ni Mungu bali akisema ukiwa wewe ni mwana wa Mungu.
 
Nadhani mali zote za thamani zilizopo hapa duniani ni mali ya shetani
 
Ila shetani hakusema ikiwa wewe ni Mungu bali akisema ukiwa wewe ni mwana wa Mungu.
Kwani baba wa Yesu kimwili ni nani?

Yesu Hana baba Wala mama, Ndiye Baba, huyo huyo ndiye Mwana, ndiye huyo huyo Roho mtakatifu.

Ukisoma Yesu akimwita Mungu Baba, ni sababu ya KAZI, ni Kwa kuwa amevaa mwili, lazima ajishushe, awe kama mwanadamu ilhali katika Roho ndiye huyo huyo Mungu BABA akeiye KITI Cha enzi.

MUNGU ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Back
Top Bottom