Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

What if ni Ukraine kafanya assassination!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Naomba unionyeshe ambapo niliandika Urusi ilishindwa na Finland, Georgia na Chechnya.
Israel ina tishio kubwa zaidi la kuvamiwa siku yoyote na haina autocracy. Kuwa na historia ya kuvamiwa sio kisingizio cha kuendekeza subordinates wabovu na kukataa meritocracy.
Hayo matukio yote niliyotaja hayatokani na kuvamiwa kwahiyo usisingizie Marekani kuwa na geographical location nzuri, mfano hiyo Great Purges ya Stalin ndiyo ilifanya uvamizi wa Nazi Germany uwe rahisi. Mna kiongozi ameua competent class ya watu zaidi ya laki saba na wengi wakiwa jeshini hilo linasaidia nini kuwalinda dhidi ya uvamizi.
 
Ili kuijua vizuri FSB na SVR isome vizuri KGB
Nafikiri hapa atapata mwanga kidogo!

FSB likely targeted Prigozhin's plane - UK defence sources

UK defence sources say that Russia’s FSB domestic intelligence agency (the successors to the KGB) are those most likely to have targeted Yevgeny Prigozhin’s plane.

They are totally loyal to Vladimir Putin and also run the border force.

Source: BBC:24/08/2023
 
Mimi nauliza hivi:

Je, inawezekana vipi viongozi wote wakubwa wa wagner wasafiri siku na muda mmoja huku ikijulikana wazi walikuwa wanawindwa wauawe?

Nawaza tena :

Inawezekana wote walikamatwa kwa pamoja kisha wakaingizwa kwenye ndege halafu ikalipuliwa.

Nawaza tena:

Siku aliyofukuzwa kazi mkuu zamani wa jeshi la anga (Gen Sergei Surovikin) ndiyo ajali hii inaenda kutokea!!!

Russian general who ran Ukraine war fired - report​


22 hours ago — One of Russia's leading military figures, Gen Sergei Surovikin, has reportedly lost his job as air force chief after weeks of speculation ...

BBC - Homepage › news › world-europe


Ukweli anao Putin mwenyewe!


'Putin's revenge' and Prigozhin's death 'no surprise'



6 hours ago — The Telegraph leads with UK security sources believing Prigozhin was killed in an assassination by Putin. They told the paper the aircraft ...

BBC - Homepage › blogs-the-papers


Ni mtazamo tu!
 
Wanawaza karibu sana hao wanaosema Putin angekamatwa akiwa SA, kitendo cha kumkamata Putin ndani ya nchi yoyote ni kumtangaza vita na Moscow na Urusi itamtoa kafara Putin lakini hiyo nchi itajiandaa kuua mamilioni kama sio mabilioni ya watu
Vijana wanaongea kwa ushabiki,nchi yyte wamkamate waone ICMB inavyofanya kazi.zaidi ya hapo nchi itakataa Putin kutembelea nchi husika ili kukwepa kadhia hiyo
 
Kitu ambacho sikielewi prigozin aliuwawa akiwa angani akitokea Moscow kwenda st petersburg sasa hivi unawezaje kujiachia kizembe kwenye mji mkuu wa makao makuu ya serikali uliyotaka kuipindua? Yani utake kumpindua samia umpelekee na vifaru mpka chalinze halafu eti akudanganye kakusamehe nawewe uendelee kuzurura dodoma au dar inawezekanaje?
 
Barikiwa mkuu.
 
Swali ninalojiuliza....Je,Marekani ilijua kama tukio hili lingetokea!!!!! Maana wiki iliyopita ilihimiza raia wake waondoke Belarus haraka Sana then wiki hii limetokea hili.[emoji848]

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Kwani hiyo ndege imeua watu walioko Belarus au imeua hao waasi tu?
Jibu ni kwamba hawakujua
 
Wanawaza karibu sana hao wanaosema Putin angekamatwa akiwa SA, kitendo cha kumkamata Putin ndani ya nchi yoyote ni kumtangaza vita na Moscow na Urusi itamtoa kafara Putin lakini hiyo nchi itajiandaa kuua mamilioni kama sio mabilioni ya watu
Uwezo huo wa kuuwa Mabilion ya watu huku Dunia itakuwa imelala tu wanasubiri Russia awamalize? Acheni basi kutupea matango pori.Yes, inaweza kuingia kwa vita lakini kusema atauwa Mabilion ya watu hapo umeongeza chumvi
 
Hawa jamaa huwa ni waongo na wataalam wa kupika stori. Kila wanachotunga kwenye SMO kinafeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…