Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Karibu sana bwana mdogo nikupe shule ya haya masuala mazito waonekana hufahamu kitu.

Kama hufahamu kitu uliza na utaelimishwa.
Never ever on Earth FSB(formerly known as KGB) na CIA wakafanya exchange taarifa za intellegensia
 
Never ever on Earth FSB(formerly known as KGB) na CIA wakafanya exchange taarifa za intellegensia
Sasa ngoja nikuelimishe.

Balozi za Marekani Moscow na Russia Washington wana madawati ya majasusi wa nchi hizo na nchi hizo hutambulishana majasusi hao. Wote CIA na SVR ya Russia wanafahamiana na hufanya kazi twasema kwa kiingereza "maticulously" yaani deep cover.

Lengo kuu ya yote haya ni kitu kingine twaita kwa kiingereza "to engage with opposite side" na hufanya kazi pamoja kukabili matatizo yanozikabili nchi hizi mbili.

Nimewahi kusema humu kwamba nchi hizi mbili pamoja na China wana line ya simu huitwa "Red Line" na hii hutumiwa pale ambapo kuna shida na ni lazima nchi hizi zizungumze. China walifunga line hii ya simu na ndo Biden akawa ahangaika na akamtuma Blinken aende Beijing kurekebisha mambo.

Nchi hizi pia zimeweka sheria kwamba kila jasusi aingiae ndani ya nchi hizo ni lazima ajitambulishe na ajulikane kazi zake zitakuwa ni ubalozini. Kumbuka balozi za nchi hizi huchukua eneo lenye ekari kubwa hivyo kuna kila kitu humo ndani kuanzia mitambo ya mawasiliano hadi vifaa maalum vya kazi. Hiyo wao husema ni kila nchi kulinda maslahi yake ndani ya nchi mwenyeji.

Huo ni utaratibu ambao nchi hizo kubwa duniani wamewekeana na endapo majasusi hao watafanya mambo ambayo ni kinyume na makubaliano yao basi majasusi hao hutimuliwa na hutakiwa kuondoka mara moja.

Mapema mwaka jana Marekani iliwatimua majasusi wa Russia wapatao 12 na Russia nayo ikawatimua majasusi wa Marekani wapatao 10.

Hata hivyo Russia mara nyingi huwa ikiwakamata majasusi wa Marekani ambao hawako kwenye orodha ilowasilishwa Moscow huwafungulia mashtaka ya ujasusi kama mwandishi wa habari Evan Gershkovich na mwanajeshi wa majini Paul Whelan ambao wamekamatwa kwa kufanya ujasusi ndani ya Russia.

Huo ni utangulizi nimekupa kama wataka madini zaidi eleza.
 

Uwezo huo wa kuuwa Mabilion ya watu huku Dunia itakuwa imelala tu wanasubiri Russia awamalize? Acheni basi kutupea matango pori.Yes, inaweza kuingia kwa vita lakini kusema atauwa Mabilion ya watu hapo umeongeza chumvi
Kama sio ushabiki sema, tuongee Kwa fact, kama Russia akasema anaingia vitani na Afrika na ukumbuke Afrika ina watu Zaid billion 1 ,je Afrika itaweza kujibu ?
 
Hizi. ni trick za Warusi, hivi inaingia akilini kwaba jeshi lakulinda anga la Urusi linaweza kutungua excutive jet yao wenyewe???Kuna mchezo unafanyika hapo si bure si sjabu hata Prighozin yungali hai, silu zijazo utamsikia yupo Afrika ya kati na Congo. Ndege za Urusi zinajitambilisha kwa marafiki na maadui kupitia code zao za siri hivyo silaha za Urusi hazitungui ndege zilizo wekewa kifaa cha kujitambulisha kwa silaha za kutungulia ndege za maadui.
 
Mkuu, Prigozhin alikuwa ana ndege binafsi na hiyo ndege imetengenezwa Brazil.
 
Putin siyo wa mchezo mchezo, aidha uwe mtumishi, mfuasi na mwaminifu kwake au UFE...
VERY SIMPLE CHOICES...
🤟👊✊💪🤙
 
Endelea braza
 
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka west Africa wanareport ya kwamba Kuna watu wanadaiwa kumuona Prigozhin nchini Mali jana.

Pia kuna habari kwamba Yevgeny Prigozhin, na makamanda wake wakuu walikuwa kwenye ndege ya pili na wanatarajiwa kufika Niger August 25 na wapiganaji 250 wa Wagner.

Kulingana na taarifa zao ,hii ndiyo sababu hakuna hata neno moja katika vyombo vya habari vya Kirusi kuhusu ndege ya pili na abiria wake.

Ikumbukwe Bado hadi sasa hakuna official report yeyote iliyotoka kuthibitisha kifo chake ingawa Kuna viashiria vya uwepo wake kwenye ndege iliyopata ajali.

=====

Prigozhin's second plane flew to AzerbaijanThe flight to Baku was planned a few days ago, even before the plane crash in the Tver region.It is not known who exactly is on the plane.
 
Nenda BBC. Mbona Putin ameshukuru kwa kazi ya wagner huko ukraine, pia amewapa pole wafiwa. Na amesema kuwa mkuu wa wagner ALIFANYA KOSA KUBWA. na amesema matokeo ya uchunguzi wa ajari hiyo yatakuja ingawa itachukua muda mrefu.
 
Nenda BBC. Mbona Putin ameshukuru kwa kazi ya wagner huko ukraine, pia amewapa pole wafiwa. Na amesema kuwa mkuu wa wagner ALIFANYA KOSA KUBWA. na amesema matokeo ya uchunguzi wa ajari hiyo yatakuja ingawa itachukua muda mrefu.
Bado haimaanishi chochote mkuu ikizingatiwa hakuna report ya kiuchunguzi iliyotoka pia kwenye hio video Putin amtumia kauli " if they were there, According to initial information... Wagner employees were on board " ni ishara kwamba Bado haijathibitishwa ,yes it's rumors but they turn out to be true sometimes.

Kingine prigozhin ni Mtu mwenye tahadhari sana na alijulikana kwa kujiandikisha kwa ndege moja na kupanda nyingine .

Tungoje report ya uchunguzi itoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…