Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Apumzike wapi kwa amani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ilitegemewa haswa, bora angekufa kishujaa kipindi kile
 
Umeandika as if wote tunamjua huyo mtu. Picha ikowapi
 
Huyu jamaa alikosea hesabu zake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mtakuja kushangaa amefufukia Kyiv.
 
Bado Zelensky. Na yeye analiwa tu timing. Putin siyo mtu poa hata kidogo.
Bado General Sergey Surovikin wa Aerospace Forces ambaye ameondolewa cheo baada ya kufichwa tangu sekeseke la Wagner.
Taratibu za vifo vya vigogo wa Urusi huwa ni zilezile, sumu kwenye chai, kudondoka kutoka ghorofani, ajali hasa za magari, kujiua kwa aina mbalimbali.

Tiyari General Gennady Zhidko aliyeongoza operation nzima mwanzoni akaja kuondolewa kwa performance mbovu amefariki wiki iliyopita kwa "ugonjwa wa muda mrefu"
Huyu ndiye aliyeondolewa kuongoza majeshi ya Urusi nchini Ukraine na akaletwa Surovikin, na Surovikin akaondolewa vilevile.
Wiki hiyohiyo ya jana General Gennady Lopyrev alifia jela alikokuwa amefungwa kwa miaka kadhaa kwa kesi gani sijui. Huyo alikuwa kikosi cha kumlinda Putin.

Majenerali wa Ukraine hawa hapa kina Budanov hawaumwi hata mafua na kichapo wanaendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…