Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege

Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege

Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!

Source: Al jazeera

====
View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say
Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry

Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.
Safi sana ,Putin kafanya yake,West waliripoti kwamba Putin lazima alipize Lisasi na hawezi kumuacha na yametimia.
 
Kilichompeleka kuvuruga maslahi ya Ufaransa huko NIGER ni kipi? Beberu hashikwi ndevu. Ndio maana Putin humtoi Kremlin make anajua yuko kwenye Target. Wenzake wako mkutanoni BRICS huko S. Afrika yeye kajichimbia ikulu.
Laiti kama Putin angeenda South Africa na kuondoka bila kukamatwa, basi serikalini ya SA ingekuwa katika mzozo mkali sana na ICC. Alifanya vile kutoiingiza Sauzi katika matatizo.
 
Umeandika as if wote tunamjua huyo mtu. Picha ikowapi
20230411_234817.jpg
 
Surovikin bado yuko rumande na ameondolewa rasmi kuwa mkuu wa jeshi la anga.

Wamepata picha halisi ya kile kitendo walokifanya kujaribu kwenda Moscow.

Tusiseme ni Putin bali ni FSB ndo wamekuwa wakishinikiza jamaa washughulikwe kwa uhaini.
Afu yametokea yote ndani ya siku 1

Ila Wagnerites hawakupaswa enda Russia tena maisha yao yote
 
Na lile tumbo lake anatoa hotuba eti anataka kuifanya Urusi iwe nchi yenye nguvu zaidi na kuifanya Afrika iwe huru. Akaposti na picha yuko Afrika, sasa kaliwa kichwa. Putin sio fala kutotoka nje ya Russia kizembe make anajua yuko kwenye Target.
Hotuba yake ya jana akiwa jangwa la Sahara,akisema nyuzi joto 50,eti yupo kueneza russia Africa yote.Nusu nitapike.
 
Mkuu kuna msemo usemao "ndege mjanja....."

Hatuwezi fahamu kuwa Ukriane ndo walokuwa "handlers" wa Prigozhin.
Haiingii akilini hata siku moja kwamba Ukraine wawe supporters wa Wagner.
Hili suala liko wazi ukiwa jeshi la Urusi hutakiwi kuwa na akili sana na hata historia yao inaonyesha hivyo. Ukiwa na akili na uzalendo utaona madudu mengi, ukitaka kuyarekebisha utawekewa vikwazo, ukiona wanaoweka vikwazo ni wasaliti wa nchi na wanaua uwezo wa kijeshi utataka kuwaondoa au utakubaliana na wanaotaka kuwaondoa. Ikigundulika unauwawa au kama ni untouchable unaondolewa kwanza kisha unakufa baadaye kwa sababu uchwara.

Jambo muhimu kwa jenerali wa Urusi ni uchawa na uaminifu kwa serikali, sio uwezo wako kijeshi. Jenerali aliyekuwa na uwezo mkubwa kwenye operation hii ni S. V Surovikin, yuko wapi?
Aliyefuatia kwa kupambana vikali ni bwana Prigozhin, yuko wapi?
Urusi hata makamanda wao wa kihistoria walioiokoa nchi waliishia maisha ya tabu na kusumbuliwa na serikali kama Admiral Kuznetsov.
Kila muda serikali inaamini utaipindua
 
Bado General Sergey Surovikin wa Aerospace Forces ambaye ameondolewa cheo baada ya kufichwa tangu sekeseke la Wagner.
Taratibu za vifo vya vigogo wa Urusi huwa ni zilezile, sumu kwenye chai, kudondoka kutoka ghorofani, ajali hasa za magari, kujiua kwa aina mbalimbali.

Tiyari General Gennady Zhidko aliyeongoza operation nzima mwanzoni akaja kuondolewa kwa performance mbovu amefariki wiki iliyopita kwa "ugonjwa wa muda mrefu"View attachment 2726575
Huyu ndiye aliyeondolewa kuongoza majeshi ya Urusi nchini Ukraine na akaletwa Surovikin, na Surovikin akaondolewa vilevile.
Wiki hiyohiyo ya jana General Gennady Lopyrev alifia jela alikokuwa amefungwa kwa miaka kadhaa kwa kesi gani sijui. Huyo alikuwa kikosi cha kumlinda Putin.

Majenerali wa Ukraine hawa hapa kina Budanov hawaumwi hata mafua na kichapo wanaendelezaView attachment 2726580
Budanov kawaambia Crimea italiona

Naona wamefanikiwa rekodi S400 ikitunguliwa

Wamefanikiwa kurubuni Rubani hadi kuwapelekea Ukraine Mi-8
 
Back
Top Bottom