Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Kwa Video za ndege hii ikianguka, na ukubwa wa moto , likely Bomu lilikua limeshategeshwa au imedunguliwa .
Wagner wenyewe kupitia Telegram channel yao wanadai imedunguliwa na air defence system. Hata hawajaficha angalau kuivamia mifumo ya kompyuta wameilipua kama ndege ya Malaysia ile waliyokana waliyotumia Buk air defence system.
 
Budanov kawaambia Crimea italiona

Naona wamefanikiwa rekodi S400 ikitunguliwa

Wamefanikiwa kurubuni Rubani hadi kuwapelekea Ukraine Mi-8
Kwenye hiyo mission ya rubani wa Urusi kupeleka Mi-8 kuna Warusi wawili kwenye crew wameuwawa, walikuwa hawajui kinachoendelea. Ile familia ya rubani ishavuka mpaka na rubani atapewa $500,000 zake.
Mambo ya kawaida kwa Warusi haya, Viktor Beleko aliiba ndege latest kabisa tena tishio akalazimisha nchi iunde ndege nyingine kwa uchungu mapema.

Sema nilitarajia hiyo programu ya Ukraine kutorosha marubani wa Urusi ifanikiwe lakini ndege za Urusi haziendi na mtu mmoja mara nyingi. Vigumu kushawishi wawili au zaidi wakakubaliana wote
 
Ila kwenye hao killed huenda wameficha ili familia zao zisisumbuliwe
 
Back
Top Bottom