myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ILITEGEMEWA HII. MUDA TU ULISUBIRIWA....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na chai bila chapati jau angalu iwepo hta mihogoBila picha ni chai
Yaani kuua kote huko waukraine kazawadiwa kifo na Putin ndio maana na mwita Putin ni shetaniSafi sana akapumzike motoni huko
ILITEGEMEWA HII, NI MUDA TU ULIKUWA UNASUBITIWA. KAMA SI LEO,KESHO..Prighozin yupo salama kabisa.alipanda ndege tofauti na iyo[emoji23![]()
![]()
This is far-fetched.Jamaa hajatunguliwa na Putin. Kauawa na makombora ya Ukrain
Mkuu we shukuru tu hta km humjui kwakukudokeza tu ndio anayehusika na inshu ya kuuzwa kwa BandariUmeandika as if wote tunamjua huyo mtu. Picha ikowapi
😂 😂Ouuuuups. Basi niendelee kusali.
Urusi hautakiwi uwe na cheo alafu uwe na akili, umaarufu na uzalendo. Ukiwa navyo hivyo life expectancy yako ni ndogo kuliko mwenye maambukizi ya VVU.R.I.P Prigon, nimeumia Sana , hapa msela Putin kazingu, labda Kama alikuwa ni hatari mbeleni
Wanampa kichwa cha bure tu huyo Putin wao
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo
Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow
Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.
View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry
Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.