Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Hahaha mkuu hawa jamaa huwa siwaamini sana.Mpaka maiti ionekane ndiyo ntaamini kweli amefariki isije kuwa tena janjajanja ya putin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mkuu hawa jamaa huwa siwaamini sana.Mpaka maiti ionekane ndiyo ntaamini kweli amefariki isije kuwa tena janjajanja ya putin
Kwamba Urusi akosee wakati amepigwa ndani ya mipaka yao?Prigozhin hakupanda hiyo ndege iliyodondoka
Wenye wered ktk mambo ya ujasus tunaamin baada ya miez kadhaa ataibukia west
Wagner wenyewe kupitia Telegram channel yao wanadai imedunguliwa na air defence system. Hata hawajaficha angalau kuivamia mifumo ya kompyuta wameilipua kama ndege ya Malaysia ile waliyokana waliyotumia Buk air defence system.Kwa Video za ndege hii ikianguka, na ukubwa wa moto , likely Bomu lilikua limeshategeshwa au imedunguliwa .
Putin hajaenda kwa kuogopa kuondolewa madarakani na sio kukamatwa na ICCLaiti kama Putin angeenda South Africa na kuondoka bila kukamatwa, basi serikalini ya SA ingekuwa katika mzozo mkali sana na ICC. Alifanya vile kutoiingiza Sauzi katika matatizo.
Hivi wale wahudumu wenye mizigo tan 10 bado wapo hapo picnic?,hiyo bar kwa mizigo ni hatari sana kwa Wanaume rijali.Ngoja nienda hapa picnic bar , Kaloleni kunywa Heineken baridiii. Maanina zake , Yuko kuzimu kuandaa jeshi lingine.
Kwenye hiyo mission ya rubani wa Urusi kupeleka Mi-8 kuna Warusi wawili kwenye crew wameuwawa, walikuwa hawajui kinachoendelea. Ile familia ya rubani ishavuka mpaka na rubani atapewa $500,000 zake.Budanov kawaambia Crimea italiona
Naona wamefanikiwa rekodi S400 ikitunguliwa
Wamefanikiwa kurubuni Rubani hadi kuwapelekea Ukraine Mi-8
Ngoja nienda hapa picnic bar , Kaloleni kunywa Heineken baridiii. Maanina zake , Yuko kuzimu kuandaa jeshi lingine.
Ila kwenye hao killed huenda wameficha ili familia zao zisisumbuliweKwenye hiyo mission ya rubani wa Urusi kupeleka Mi-8 kuna Warusi wawili kwenye crew wameuwawa, walikuwa hawajui kinachoendelea. Ile familia ya rubani ishavuka mpaka na rubani atapewa $500,000 zake.
Mambo ya kawaida kwa Warusi haya, Viktor Beleko aliiba ndege latest kabisa tena tishio akalazimisha nchi iunde ndege nyingine kwa uchungu mapema.
Sema nilitarajia hiyo programu ya Ukraine kutorosha marubani wa Urusi ifanikiwe lakini ndege za Urusi haziendi na mtu mmoja mara nyingi. Vigumu kushawishi wawili au zaidi wakakubaliana wote
Bila picha ni chai
Ndio mkuu 10000 lakini waizi mkuuMkuu pale pana pisi flan hujipanga barabarani pale!
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app