Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia


Mkuu hebu kwanza tuliza boli halafu iweke hii habari vizuri 😀...

Kuna mtu anataka kutema bungo?
 
Umeandika ukumer dogo...
Unajua ni watu wangapi wamekufa nje ya hayo maandamano? Unajua ni watu wangapi wamekufa na kupata ulemavu kwa kutetea haki na kusema kweli?

LINDA ****** HUO DOGO NA MENGINE UACHE YAKUPITE.....
Samahan kaka kama nimekosea, ila lengo langu si baya mkuu, hawa watu TAARIFA wazitiazo nyingi si sahihi, kitu amabcho kina leta mashaka baina yetu
 
Umeandika ukumer dogo...
Unajua ni watu wangapi wamekufa nje ya hayo maandamano? Unajua ni watu wangapi wamekufa na kupata ulemavu kwa kutetea haki na kusema kweli?

LINDA ****** HUO DOGO NA MENGINE UACHE YAKUPITE.....
Kama unakumbuka majuzi zenji watu waliandamana, sasa TAARIFA iliyotolewa na maria sarungi insta haikua ya kweli kuhusu tukio lenyewe, mi nipo zenji nakwambia alicho ongea maria hakikua na ukweli sijui Kwa nini alidanganya au aliempa TAARIFA alimdanganya
 

Bashite anatumia ukaribu wake na wanamtandao kuwachomea wenzake
 
sijui Kwa nini alidanganya au aliempa TAARIFA alimdanganya
Hiki ndio kilitakiwa kiwe kiini cha utafiti wako... Jiulize, je taarifa zote wanazotoa ni za uongo?
Ikiwa ni za uongo wananufaika vipi na ikiwa tofauti pia manufaa ni yapi?

Je unafikiri kwanini hata hizo taarifa za "uongo" wananchi huzifurahia na kufarijika nazo!?

Mwisho naomba unifahamishe kulikua na maandamano zanzibar!? Sijaisikia hiyo...
 
Bonge la idia yenye ukweli flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…