Tushawapiga mtu na dada yake naomba TFF watuambie tuvae suti za rangi gani kati ya njano au kijani ili watupe kombe letu..Tukiuangalia huu mwezi tunacheka kwa dharaau. [emoji28][emoji28]
View attachment 2173802
Ewaaa!! Mdogo mtu tunamchakaza jumatano kisha dada mtu tunamalizia mwisho wa mwezi. πππTushawapiga mtu na dada yake naomba TFF watuambie tuvae suti za rangi gani kati ya njano au kijani ili watupe kombe letu..
Kwa kweeli TFF watuambie tuanza maandalizi mapema. πTushawapiga mtu na dada yake naomba TFF watuambie tuvae suti za rangi gani kati ya njano au kijani ili watupe kombe letu..
Mwaka huu sikukuu wataila kwa macho...Ewaaa!! Mdogo mtu tunamchakaza jumatano kisha dada mtu tunamalizia mwisho wa mwezi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Nakwambia halafu Aucho mbona kama anatuzingua nadhani ni muda Muafaka wa Sureboy kutake over kwanza namkubali sana huyu mwamba kuliko Aucho... Na ifike mahali tuwe na timu bora yenye wazawa wengi ambao ni talentedKwa kweeli TFF watuambie tuanza maandalizi mapema. [emoji28]
Hakika. π πMwaka huu sikukuu wataila kwa macho...
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nikajua ni majeruhi au ameshaanza maringo? πNakwambia halafu Aucho mbona kama anatuzingua nadhani ni muda Muafaka wa Sureboy kutake over kwanza namkubali sana huyu mwamba kuliko Aucho... Na ifike mahali tuwe na timu bora yenye wazawa wengi ambao ni talented
Hakika na Sureboy kocha akamwamini na kumpa nafasi mara kwa mara mbona anampiku tu.Nakwambia halafu Aucho mbona kama anatuzingua nadhani ni muda Muafaka wa Sureboy kutake over kwanza namkubali sana huyu mwamba kuliko Aucho... Na ifike mahali tuwe na timu bora yenye wazawa wengi ambao ni talented
Alicheza Uganda kwenye friendly match but huku kwetu alikua anazuga anaumwa si unakumbuka hata kipindi flani aliwahi kuzuga hivi hivi mi naona bora asepe zake tu mapema kabla hajageuka kirusi...Mi nikajua ni majeruhi au ameshaanza maringo? [emoji853]
Sure boy ni mtu na nusu yule ni top star mi hua napenda touch zake pasi zake sasa dahhh kama thiago Alcantara...Hakika na Sureboy kocha akamwamini na kumpa nafasi mara kwa mara mbona anampiku tu.
Amelewa sifa yule yaani akishasikia anaitwa Dr bassi anajiona ni bonge la star.Alicheza Uganda kwenye friendly match but huku kwetu alikua anazuga anaumwa si unakumbuka hata kipindi flani aliwahi kuzuga hivi hivi mi naona bora asepe zake tu mapema kabla hajageuka kirusi...
Ndo hivyo kwanza mi naona kama jamaa anapewaga sifa ambazo hata hana ni overrated player..Amelewa sifa yule yaani akishasikia anaitwa Dr bassi anajiona ni bonge la star.
Nadhani ipo haja ya uongozi kummulika vitendo vyake na kufanya maamuzi mapema kama usemavyo.
Hahahaaa. Ako kamstari ka mwisho umemaliza Mkuu.Sure boy ni mtu na nusu yule ni top star mi hua napenda touch zake pasi zake sasa dahhh kama thiago Alcantara...
Laiti ningekuwa kocha basi angekaa benchi hadi ajione choo[emoji28][emoji28]Hahahaaa. Ako kamstari ka mwisho umemaliza Mkuu.
Wampe chance jamani.
Hamna kwa % fulani anastahili japo shida iliyopo amezibeba na kuzizidisha kichwani kwake.Ndo hivyo kwanza mi naona kama jamaa anapewaga sifa ambazo hata hana ni overrated player..
π π πLaiti ningekuwa kocha basi angekaa benchi hadi ajione choo[emoji28][emoji28]