Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa kweeli TFF watuambie tuanza maandalizi mapema. [emoji28]
Nakwambia halafu Aucho mbona kama anatuzingua nadhani ni muda Muafaka wa Sureboy kutake over kwanza namkubali sana huyu mwamba kuliko Aucho... Na ifike mahali tuwe na timu bora yenye wazawa wengi ambao ni talented
 
Mi nikajua ni majeruhi au ameshaanza maringo? 🙁
 
Nakwambia halafu Aucho mbona kama anatuzingua nadhani ni muda Muafaka wa Sureboy kutake over kwanza namkubali sana huyu mwamba kuliko Aucho... Na ifike mahali tuwe na timu bora yenye wazawa wengi ambao ni talented
Hakika na Sureboy kocha akamwamini na kumpa nafasi mara kwa mara mbona anampiku tu.
 
Alicheza Uganda kwenye friendly match but huku kwetu alikua anazuga anaumwa si unakumbuka hata kipindi flani aliwahi kuzuga hivi hivi mi naona bora asepe zake tu mapema kabla hajageuka kirusi...
Amelewa sifa yule yaani akishasikia anaitwa Dr bassi anajiona ni bonge la star.

Nadhani ipo haja ya uongozi kummulika vitendo vyake na kufanya maamuzi mapema kama usemavyo.
 
Ndo hivyo kwanza mi naona kama jamaa anapewaga sifa ambazo hata hana ni overrated player..
 
Wananchi tunaendelea na mazoezi kuelekea mechi na Azam hapo jumatano.
20220404_001408.jpg
 
Back
Top Bottom