Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sawa mtani. Naona siku hizi mkipata goli moja mnacheza kwa mbwembwe sana.

Tunawasubiri
Acha kabisa Mtani na musiombee tuwafunge hiyo tarehe nane mana tutafanya mbwembwe mbaya yaani mpira utachezewa kwa kila aina. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kama nawaona mtakavyoacha viti wazi ghafla. πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…