Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Acha kabisa Mtani na musiombee tuwafunge hiyo tarehe nane mana tutafanya mbwembwe mbaya yaani mpira utachezewa kwa kila aina. ๐๐๐Sawa mtani. Naona siku hizi mkipata goli moja mnacheza kwa mbwembwe sana.
Tunawasubiri
Kama nawaona mtakavyoacha viti wazi ghafla. ๐