Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sawa mtani. Naona siku hizi mkipata goli moja mnacheza kwa mbwembwe sana.

Tunawasubiri
Acha kabisa Mtani na musiombee tuwafunge hiyo tarehe nane mana tutafanya mbwembwe mbaya yaani mpira utachezewa kwa kila aina. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kama nawaona mtakavyoacha viti wazi ghafla. ๐Ÿ˜€
 
yani hicho kipigo mtakachokutana nacho jยฒ mtasimulia hadi vizazi vyenu vya baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiii!! Sidhani aiseee Mtani.
Young_Africans_SC_(logo).png
 
Back
Top Bottom