Duuh!! Sidhani kama hii ni sababu mtani mana hii kwao ni ajira na ikitokea unanenepa namna hiyo ujue uko mbioni kuikosa mana hamna mtu anaeza sajili mtu ana kilo ambazo hawezi kuzimudu.Nafikiri ni mindset ya kwamba hata ligi ikirudi hakuna wanachopambania.
Otherwise ni kutokuwa professional, "lack of professionalism".
hahahaha, sikuzipata mapemaHahahahaaa. Za juu kwa juu hizi. Lol.
Ahsante Mtani. Mezipokea.
Duuh!! Sidhani kama hii ni sababu mtani mana hii kwao ni ajira na ikitokea unanenepa namna hiyo ujue uko mbioni kuikosa mana hamna mtu anaeza sajili mtu ana kilo ambazo hawezi kuzimudu.
Nilishangaa hadi Makame ana kitambi aisee. ππ
Haya bana Mtani. ππ
Nadhani ni uzembe wa kutokufanya kwa usahihi program walizokuwa wanapewa na Mwalimu na hizi ndio zimewasababishia yote hayo.Unahisi tatizo ni nini?
Tatizo mbumbumbu fc uelewa wenu mdogo sana kama msemaji wenu.
Mbona kama umepaniki hivi Mimi nimewaletea matokeo ya mechi ya Simba vs kmc sasa wewe na kiherehere chako kama chupi ya mke wa Balozi una washwa nini hata kama ni mechi ya mazoezi tungefungwa je ungesema haya uliyosema.Tatizo mbumbumbu fc uelewa wenu mdogo sana kama msemaji wenu.
Mnashindwa kutofautisha mechi za mazoezi na mechi za kirafiki.
Mlicho cheza ninyi leo asubuhi na hata jioni ni mazoezi si mechi ya kirafiki.
Tofauti na mechi ya jana ya Yanga.
Hapo ni sawa na kocha kupanga kikosi A na kikosi B halafu ujisifu
Mbona una hasira kama una mimba changa? Kwani we kilichokuwasha ni kitu gani ukaleta matokeo huku!!!?Mbona kama umepaniki hivi Mimi nimewaletea matokeo ya mechi ya Simba vs kmc sasa wewe na kiherehere chako kama chupi ya mke wa Balozi una washwa nini hata kama ni mechi ya mazoezi tungefungwa je ungesema haya uliyosema.
Kikawaida kawaida Mtani unadhani matokeo yangekuwaje hapo? Kuwa mkweli tu.
Hapana, sema majukumu ya hapa na pale yana tukipu bize.Naona mechi ya kirafiki imekuibua Mtani. Kwema huko?
Umemisika.
Uongo dhambi, kwa kikosi hiki wakati huo Chura FC kweli ilikua tishio, sio hawa vibonge wa sasa. Yaani utadhani maveterani wamekutana kwenye bonanza la jumamosi ili wakimalize wakanywe supu na biaπππWaliosimama toka kulia ni Ephrahim Makoye,Ally Mayay Tembele,BM Jembe ulaya,Manyika Peter,Shaban Ramadhan,Said Magoli Mwamba Kizota waliokaa kutoka kushoto ni Edibily Jonas Lunyamila,Eustace Bajwala,Banza Tshikala,Sekilojo Jackson Chambua na Nahodha Fred Mbuna
View attachment 1473663
Pambana Mtani.Hapana, sema majukumu ya hapa na pale yana tukipu bize.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Shadeeya wewe kukubali kua Lunyasi ni level nyingine na kwamba soka lao ni la hali ya juu sana wahisi kama unatolewa roho vileπππKikawaida kawaida Mtani unadhani matokeo yangekuwaje hapo? Kuwa mkweli tu.
Sababu alishamfunga Yanga mmefanya juu chini mkacheza nao ilimradi tu. Lol
Hamna kitu kama hicho. ππShadeeya wewe kukubali kua Lunyasi ni level nyingine na kwamba soka lao ni la hali ya juu sana wahisi kama unatolewa roho vileπππ
Msema kweli mpenzi wa Mungu,ila umekosea kidogo tuUongo dhambi, kwa kikosi hiki wakati huo Chura FC kweli ilikua tishio, sio hawa vibonge wa sasa. Yaani utadhani maveterani wamekutana kwenye bonanza la jumamosi ili wakimalize wakanywe supu na biaπππ
Watu kwa siku wanacheza mechi mbili na zote wanashinda, umewahi kuiona wapi hiyo? Sanasana ili mjifariji mtasema muamala umepita, Wananchi bana, kaaazi kwelikweiπ€£π€£π€£Hamna kitu kama hicho. ππ