Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Naona mkuu unashindwa kubishana kwa hoja,yaani umejaza 'ushabiki maandazi'
 
Naona mkuu unashindwa kubishana kwa hoja,yaani umejaza 'ushabiki maandazi'
Nimekuwekea hoja hapo , tena hesabu juu kabisa

Tena nikakusaidia ujue na ukubwa wa jezi mil 1 uone ulivyo

Msimu huu mna sole distributor kabisa, ni sandaland peke yake ,

anashiriana na baadhi ya watu wawil watatu

jezi zilikuja na kuisha siku hiyo hiyo

Zilikua zinauzwa sehemu 3 tu sijui

Msimu mzima hamuuzi kit zaid ya 200k nyie abadani, itakua uliambiwa mil 120 ukafananisha na 1.2bil

acha utani na kit mil 1 ww [emoji23][emoji23][emoji23] hizo gsm mall zenyewe zote zingejaa jezi kusiwe na nafasi ya hata kiroboto kuingia na bado mzigo zaid ya huo ungekua Kwenye godowns
 
Leo sio Kioja tena? [emoji23]

Taratibu utaandika kupata ukweli huu.
Sema nn una moyo

Yani unakaa chini kabisa unawaza kuifunga simba .. ni ushujaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119], hongera
 
Hivi Mtani ujue inashangaza sana hivi mumekosa vya kupost vya Simba ambavyo vinamanufaa kwa timu yenu kweli? [emoji848][emoji848][emoji848]

Tembelea page ya Yanga kama utaona kuna story ka hizi. Lol.
Unaijua official page ya Simba SC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…