Ses we mshukuru Baba enu tiefuefu kawanusuru hizi porojo nyengine hazina nafasi kwa sasa.In
Tumependa huko kuahirishwa ili kocha mpya mtakae mleta apate muda mzuuri wa kuisuka tumu yenu. Hatutaki kisingizio chochote kwamba "oooh, sisi kocha wetu hakuwa na muda wa kutosha kuiandaa timu"..... tunataka kuwafunga mkiwa na kikosi kilichotimia na mwalimu wa uhakika
Mechi ichezwe kesho au keshokutwa au hata mwezi ujao, tena hata usiku wa manane, kichapo kipo palepaleee Shadeeya, hamna namna mtusamehe tu wataniSes we mshukuru Baba enu tiefuefu kawanusuru hizi porojo nyengine hazina nafasi kwa sasa.
Hahahahahahahahah Yanga hii wachezaji wanacheza mpira kama miguu imejaa funza ndio imfunge Simba.Ses we mshukuru Baba enu tiefuefu kawanusuru hizi porojo nyengine hazina nafasi kwa sasa.
😂 Ndio ujiulize kwa nini tiefuefu ameona mnastahili kubadilishiwa tarehe.Hahahahahahahahah Yanga hii wachezaji wanacheza mpira kama miguu imejaa funza ndio imfunge Simba.
Wewe tulia tar 7ule 4 zingine basi😂 Ndio ujiulize kwa nini tiefuefu ameona mnastahili kubadilishiwa tarehe.
Kuwa na Baba sehemu ya kazi ni raha sana aisee Mtani.
Hamna kitu kama hicho. Nakuhakikishia Mtani.Wewe tulia tar 7ule 4 zingine basi
Kwa manunuzi, kwani hujui? Au umesahau😂😂😂 Kwa mpira gani baasi?
Usisahau Yondani,Abdul na yule mwizi wa magari hawapo. Mliwanunua mechi ya shirikisho. Sasa hivi hakuna wa kufika bei. Hiyo trh 7 mtatueleza mlizipataje zile goli nneMechi ichezwe kesho au keshokutwa au hata mwezi ujao, tena hata usiku wa manane, kichapo kipo palepaleee Shadeeya, hamna namna mtusamehe tu watani
Nakazia!! Watatueleza walizipataje pataje zile bao.Usisahau Yondani,Abdul na yule mwizi wa magari hawapo. Mliwanunua mechi ya shirikisho. Sasa hivi hakuna wa kufika bei. Hiyo trh 7 mtatueleza mlizipataje zile goli nne
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Nalijua hilo Mkuu.Kwa manunuzi, kwani hujui? Au umesahau
Mpira wa Simba niliona wa hovyo walipocheza na Mtibwa,vipasipasi hupiga wakicheza na vitimu vilivyopanda daraja,hata Ihefu wasingekataliwa goli halali ilikuwa ni sareIla Shadeeya sijui ni mapenzi kwa Yanga sijui ni nini,Mpira anaocheza Simba unaamini kabisa Yanga anaweza kumfunga Simba kirahisi rahisi tu hahahahahahahahah Haipo timu ya kuifunga Simba ukanda huu wa East Africa Haipo.
AchaMpira wa Simba niliona wa hovyo walipocheza na Mtibwa,vipasipasi hupiga wakicheza na vitimu vilivyopanda daraja,hata Ihefu wasingekataliwa goli halali ilikuwa ni sare
Na ile team ya utopolo fc iliyolala 4- 1 ilitoka kupanda daraja eeeeMpira wa Simba niliona wa hovyo walipocheza na Mtibwa,vipasipasi hupiga wakicheza na vitimu vilivyopanda daraja,hata Ihefu wasingekataliwa goli halali ilikuwa ni sare
Kwani siku hizi kumuona MUKOKO ni buku 3 tu?View attachment 1594069Kesho ijumaa tutacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui FC kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia Saa 1:00 usiku.
Kwa kiingilio cha 3,000 mzunguko na 5,000 VIP. Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#TimuYaWananchi
@Yangasc
Tulia weweee. 😎Kwani siku hizi kumuona MUKOKO ni buku 3 tu?
Hahaa sawa Shadeeya 😎Tulia weweee. 😎
Karibu Chamazi uone Wananchi.
Umzima lakini Mtani?Hahaa sawa Shadeeya 😎