Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

In

Tumependa huko kuahirishwa ili kocha mpya mtakae mleta apate muda mzuuri wa kuisuka tumu yenu. Hatutaki kisingizio chochote kwamba "oooh, sisi kocha wetu hakuwa na muda wa kutosha kuiandaa timu"..... tunataka kuwafunga mkiwa na kikosi kilichotimia na mwalimu wa uhakika
Ses we mshukuru Baba enu tiefuefu kawanusuru hizi porojo nyengine hazina nafasi kwa sasa.
 
Ila Shadeeya sijui ni mapenzi kwa Yanga sijui ni nini,Mpira anaocheza Simba unaamini kabisa Yanga anaweza kumfunga Simba kirahisi rahisi tu hahahahahahahahah Haipo timu ya kuifunga Simba ukanda huu wa East Africa Haipo.
 
😂😂😂 Kwa mpira gani baasi?
 
Mechi ichezwe kesho au keshokutwa au hata mwezi ujao, tena hata usiku wa manane, kichapo kipo palepaleee Shadeeya, hamna namna mtusamehe tu watani
Usisahau Yondani,Abdul na yule mwizi wa magari hawapo. Mliwanunua mechi ya shirikisho. Sasa hivi hakuna wa kufika bei. Hiyo trh 7 mtatueleza mlizipataje zile goli nne

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Ila Shadeeya sijui ni mapenzi kwa Yanga sijui ni nini,Mpira anaocheza Simba unaamini kabisa Yanga anaweza kumfunga Simba kirahisi rahisi tu hahahahahahahahah Haipo timu ya kuifunga Simba ukanda huu wa East Africa Haipo.
Mpira wa Simba niliona wa hovyo walipocheza na Mtibwa,vipasipasi hupiga wakicheza na vitimu vilivyopanda daraja,hata Ihefu wasingekataliwa goli halali ilikuwa ni sare
 
Acha
giphy.gif
 
Na ile team ya utopolo fc iliyolala 4- 1 ilitoka kupanda daraja eeee
 
Back
Top Bottom