Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ses we mshukuru Baba enu tiefuefu kawanusuru hizi porojo nyengine hazina nafasi kwa sasa.In
Tumependa huko kuahirishwa ili kocha mpya mtakae mleta apate muda mzuuri wa kuisuka tumu yenu. Hatutaki kisingizio chochote kwamba "oooh, sisi kocha wetu hakuwa na muda wa kutosha kuiandaa timu"..... tunataka kuwafunga mkiwa na kikosi kilichotimia na mwalimu wa uhakika