Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kipindi cha pili cha mchezo ndio kimeanza
Young Africans inafanya mabadiliko, anaingia Godfrery Taita anatoka Shadrack Nsajigwa
Kiggi Makasi anaingia kuchukua nafasi ya Shamte Ally
 
Villa wanakosa goli la wazi kabisa.......

Yanga wanakoswakoswa hapa....
 
Ana beef na Papic so aliapa hatampanga.......Ndio maana naunga mkono Papic kutambaa zake

Mkuu lakini usisahau kwamba Papic ni kocha mzuri sana. Kumtimua kwa sababu ya kutompanga Chidi Gumbo hautakuwa uamuzi wa busara ama wenye kuinufaisha timu.
Kwa maoni yangu uongozi unapaswa kuingilia kati kuwasuluhisha Papic na Chidi ili wafanye kazi kwa pamoja kwa manufaa ya timu kwani chindi ni fundi sana kama akipewa nafasi nina uhakika tutamaliza ligi kwa kishindo kizito na kutetea ubingwa wetu!
 
Hawa Asamoah na Mwape ni gharama kubwa sana kwa Yanga.........Namchukia sana Kostadin Papic
 
Ana beef na Papic so aliapa hatampanga.......Ndio maana naunga mkono Papic kutambaa zake

Mkuu Bala sidhani kama kumtimua Papic ndio suluhisho kwani kwa maoni yangu Papic ni kocha mzuri sana.
Jambo la msingi hapa ni uongozi wa Yanga kuingilia kati na kuleta suluhu baina ya Papic na Chidi kwa manufaa ya timu kwani kila mmoja ana nafasi yake na umuhimu wake.
 
Kenge wewe.imekula kwa mama yako umeshndwa kufatilia yenu umekalia unafiki eeeh!
 
Tumetawala game hasa kunako kiungo.....Tatizo ni umaliziaji tu Davies Mwape anakosa magoli ya kijinga kabisa
 
Dakika ya 88

Villa Squad 0-0 Yanga

Villa wamekamia sana mechi hii....
 
Back
Top Bottom