Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Utopolo fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira wenu wa kusifiwa kwenye magazeti ndio unawavimbisha kichwa mkajiona boonge la timu kumbe hakuna kitu kabisaa🤣🤣🤣Kwani hujawaona weye? 😎😎
Pole sana mkuu🤣🤣🤣yani mlivyo na hasira mbona mechi ya juzi tumeshinda 3 hizo hizo sasa leo kufungwa 3 imekuwa ajabu jamani.
Mkuu sisi sherehe yetu ya kuchukua FA ainogi mpaka tucheze na nyinyi.Pole sana mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sisi ndio dua letu hilo la kukutana na nyie na safari hii hatutafanya makosaMkuu sisi sherehe yetu ya kuchukua FA ainogi mpaka tucheze na nyinyi.
Nyie KMC kwa nini mnamkosesha Amani Shadeeya ?
Gendaheka hiloUko makini sana
Naona mechi ya kirafiki imekuibua Mtani. Kwema huko?Utopolo 3-0 Kmc
Hahahaa. Halafu sijajua hata hasira wamezitowa wapi?yani mlivyo na hasira mbona mechi ya juzi tumeshinda 3 hizo hizo sasa leo kufungwa 3 imekuwa ajabu jamani.
Kwani mlitaka matokeo yaweje?Mpira wenu wa kusifiwa kwenye magazeti ndio unawavimbisha kichwa mkajiona boonge la timu kumbe hakuna kitu kabisaa🤣🤣🤣
Aiseee!! 🤔🤔Wachezaji wa Yanga wanacheza mpira kama korodani zao zimevimba.
Mpira wenu wa kwenye magazeti na radioni ndio unaotupa hasira. Mwambieni Nugaz mpira ni uwanjani, hizo kelele za Spain siju La Liga ni mbwembwe za bure tu🤣Hahahaa. Halafu sijajua hata hasira wamezitowa wapi?
Au ndio wanamalizia machungu ya kile kichapo nini?
Sasa na nyie si mjitangaze nini kinawashinda sa? 😎😎😎Mpira wenu wa kwenye magazeti na radioni ndio unaotupa hasira. Mwambieni Nugaz mpira ni uwanjani, hizo kelele za Spain siju La Liga ni mbwembwe za bure tu🤣
Tulijuwa lazima muteseke. 😅😅Mpira wenu wa kwenye magazeti na radioni ndio unaotupa hasira. Mwambieni Nugaz mpira ni uwanjani, hizo kelele za Spain siju La Liga ni mbwembwe za bure tu🤣
Na Mtateseka sana mwaka huu.Mpira wenu wa kwenye magazeti na radioni ndio unaotupa hasira. Mwambieni Nugaz mpira ni uwanjani, hizo kelele za Spain siju La Liga ni mbwembwe za bure tu🤣
Hahahaaa. Lol.Hahahahahahahahah tutaelewana tu AMAGAMBO NI BUKEBUKE.