Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada kapresha kanakuja tena kanapotea🤣🤣🤣 uhuru haupo kabisaNdo kusema unaongea na simu ama. 😂😂😂
Hahahaaaa. Yote matokeo na inabidi uwe tayari kuyapokea.Dada kapresha kanakuja tena kanapotea🤣🤣🤣 uhuru haupo kabisa
Leo hii nipo nyumbani kuna kimsiba, so nipo nasikiliza kwenye redio🤣🤣🤣 tupo wengi hatujavaa ata barakora tunapondana tu hapa ila mm najitenga kiaina🤣🤣Hahahaaaa. Yote matokeo na inabidi uwe tayari kuyapokea.
Mana kama sasa Mtibwa wameliandama lango letu mbaya.
Duuh!! Pole Mkuu.Leo hii nipo nyumbani kuna kimsiba, so nipo nasikiliza kwenye redio🤣🤣🤣 tupo wengi hatujavaa ata barakora tunapondana tu hapa ila mm najitenga kiaina🤣🤣
Asante mkuu, Hakika game hii ilikuwa c ya kusikiliza redioni😁,Duuh!! Pole Mkuu.
Game sio mbaya ya kufanya kujawa na presha saaana. Nadhani presha uliyo nayo ni vile unasikiliza kwa redio kwani huko huwa chumvi ni nyingi kutoka kwa watangazaji.
Siyo nying mkuu hii ishakuwa yetu😁 na tunaweza ongeza lingine pia🤣🤣Duuh! Zimeongezwa Dkk 5 game kuisha.
Hawa walikuwa wetu saa nyingi tu ila ndo hakukuwa na mchezaji mwenye namna ya kufika golini katika wale walioanza.Asante mkuu, Hakika game hii ilikuwa c ya kusikiliza redioni😁,
Hatimaye. Game over. LolSiyo nying mkuu hii ishakuwa yetu😁 na tunaweza ongeza lingine pia🤣🤣
😂😂 Tuwape nafasi.Sarpongo, fiston, wasubr lig iishe wasepe tu
Ahsante!!Hongerani
Second half mmeonewa wapi na wapi ?
Tunatengeneza database
Sarong tumempa nying sana, bora huyu fiston hii game yk ya tatu akiwa na yanga😂😂 Tuwape nafasi.
Hongerani
Second half mmeonewa wapi na wapi ?
Tunatengeneza database
Kuna baadhi ya game huyo Sarpong anaonyesha ana kitu ila ndo hivyo sijuagi ugumu unakuwaga wapi.Sarong tumempa nying sana, bora huyu fiston hii game yk ya tatu akiwa na yanga