Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210220_203739.jpg
 
Hahahaaaa. Yote matokeo na inabidi uwe tayari kuyapokea.

Mana kama sasa Mtibwa wameliandama lango letu mbaya.
Leo hii nipo nyumbani kuna kimsiba, so nipo nasikiliza kwenye redio🤣🤣🤣 tupo wengi hatujavaa ata barakora tunapondana tu hapa ila mm najitenga kiaina🤣🤣
 
Leo hii nipo nyumbani kuna kimsiba, so nipo nasikiliza kwenye redio🤣🤣🤣 tupo wengi hatujavaa ata barakora tunapondana tu hapa ila mm najitenga kiaina🤣🤣
Duuh!! Pole Mkuu.

Game sio mbaya ya kufanya kujawa na presha saaana. Nadhani presha uliyo nayo ni vile unasikiliza kwa redio kwani huko huwa chumvi ni nyingi sana kutoka kwa watangazaji.
 
Duuh!! Pole Mkuu.

Game sio mbaya ya kufanya kujawa na presha saaana. Nadhani presha uliyo nayo ni vile unasikiliza kwa redio kwani huko huwa chumvi ni nyingi kutoka kwa watangazaji.
Asante mkuu, Hakika game hii ilikuwa c ya kusikiliza redioni😁,
 
Back
Top Bottom