Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Baada ya kumkanda domo domo fc
FB_IMG_1729421495136.jpg
 
“Naomba niweke sawa jambo hili kwa mashabiki, mimi mipango yangu sio timu ifunge magoli mengi, mimi napenda timu yangu itengeneze magoli mengi. Yakipatikana magoli mengi sawa lakini lengo kuu ni alama tatu” Miguel Gamondi
 
Tunachofurahia umejaza chumba L na sasa utajaza Chumba D.

I see it comming
Wakati huo timu lako limejaza nini? Mbumbumbu mna matatizo kweli. Kwenye hesabu za possibility utaona Yanga ana uwezo wa kucheza michezo zaidi ya mitano bila kupata sare au kupoteza ila timu yako ya Simba uwezo huo hawana ndio maana mchezo wa tano tu wamepata sare.
 
kumbuka baka ataikosa michezo miwili, yao haijulikani atapona lini,dube hafungi,musonda hafundi, mechi inayofuata dhidi ya fountain gate hawa wajuba wanajua kufunga, simba hii ina uwezo wa kushinda mechi 5 hata 6 hata 7 mfululizo. Yanga ina wastani wa kupoteza michezo miwili kwenye mechi 10, so kumi la pili mtapoteza michezo mi2 tena.
 
Back
Top Bottom