Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya wachezaji watanzania wanaocheza soka nje ya nchi kwa sasa. Orodha inaonyesha mchezaji, nchi anayocheza na jina la club yake ya mwisho kuchezea kabla 'hajatimkia' nje ya nchi kucheza soka la kulipwa.
1. Muharami Mohamed - Msumbiji , former Simba player
2. Haruna Moshi Boban - Sweden, former Simba Player
3. Henry Joseph Shindika Norway, former Simba player
4. Victor Costa Nyumba Msumbiji , former Simba player
5. Renatus Njohole Switzerland,former Simba Player
6. Athuman Machupa - Sweden, former Simba Player
7. Said Maulid Angola former Yanga player
8. Credo Mwaipopo - Sweden former Yana Player
9. Nizar Khalfan Canada, former Mtibwa player
10. Kalimangonga Remmy Mtoro Ongala Sweden,former Kajumulo FC
Idadi kubwa ya wachezaji wanaocheza nje utaona wanatokea club ya Simba SC " Wekundu wa Msimbazi"; najiuliza maswali yafuatayo
1. Je, wachezaji wa Simba wana vipaji zaidi kuliko wa Yanga ndo mana wengi wanacheza soka la kulipwa nje ya nchi?
2. Je, wachezaji wa Yanga hawana mwamko wa kucheza nje ya nchi,kwa maana ingine wameridhika na "soka la bongo" ndo sababu ya idadi yao kuwa ndogo?
3. Je, viongozi wa Yanga wanawabania wachezaji wao kucheza nje ya nchi kwa maslahi yao binafsi?
Nini maoni yenu wana JF