The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
-
- #61
Daah mkuuuu kama nakuona ulivofurahi kuwaona single mom, utakuwa unajisemea kiburi chenu kiliwaponzaWakati niko chuo undergraduate, nilikuwa naamini katika kupata mke wa kuoa chuoni. Basi nikaanza pilikapilika. Enzi hizo akina dada wachache university. Kulikuwa na 3 niliokuwa naona wananifaa. Jaribu jaribu, wapiiii. Hakuna kitu. Wanaonipenda, siwapendi. Ninaowapenda, hawanipendi. Basi nikamaliza chuo hivyo hivyo, kibingwa bingwa. Nilivyokuwa postgraduate ndio nikapata mweza. Sasa wale warembo 3 nilikuwa natafuta mmoja wapo - wawili ni ma-single mother mpaka leo, mmoja ndiye alifanikiwa kuolewa.
Mkuu hakuna kati yao unaehisi ulichezea bahati ya mtendeEx zangu na wale mlionipenda nikashindwa kuwapenda natumaini mnaenjoy maisha huko mlipo.
[emoji1787][emoji1787]Ex zangu na wale mlionipenda nikashindwa kuwapenda natumaini mnaenjoy maisha huko mlipo.
Ustaarabu kutoa namba ya muheshimiwa hivyo mtandaonisi connection na wenzio wafaidi ulichoshindwa wewe
Wapo mkuumkuuu hakuna kati yao unaehisi ulichezea bahati ya mtende
Funguka mkuu kwann ufe na tai shingoni kama ni Noelia mfungukiee mbona ni muelewa tuuuππwengine wapo humu humj sema ndo hvyo tumakausha na kujifia na tai shingoni
I was kidding bhnSio ustaarab
ustaarabu kutoa namba ya muheshimiwa hivyo mtandaoni
Dah mkuu siutatafuna hadi wake zetu wa badae kwa namna hiiMimi huwa nawatongoza wanawake wanaoonekana wanaheshima/watu wa dini lengo langu ni kumpata bikra nitakae mpenda sana
Lakin bahati mbaya Licha ya muonekano wao wa kidini sijawahi kubahatisha bikra ila Nina bahati ya kuwa wao huwa wananipenda sana lakin ninawaacha kikatili kwakua moyo wangu unahisi tayari Wana watu wao waliokwisha kupendana kabla ya uwepo wangu
Licha ya wao kunipenda sana Mimi huwa ninawaacha na kuendelea na safari yangu ya kutafuta mwanamke ambae Mimi ndo nitakua mpenzi wake wa kwanza
Hivyo katika hao nilio achana nao mimi upendo wangu unafutika na sibakizi hata chembe ya upendo wangu juu yao, nafanya haya yote kwa kuzingatia husia huu "Owa mwanamke unae mpenda na usioe mwanamke kwa kumuonea huruma"
Fanya ku retreat muda bado ungali naweWapo mkuu
Mkuu natafuta mwanamke bikra hakika mimi nimetulia sana na nikimpata nitampenda sana na ikiwa yeye atanipenda pia huyo ndo nitakae muoadah mkuu siutatafuna hadi wake zetu wa badae kwa namna hii
Ahahaha ila sio mbaya huyo uliyeamua kuwa naye atakuwa ashakupa wakuwa sekondariAmeoa na ana familia... nabaki ku wish mtoto wetu angekua secondary school sasa πππ
ila mtoto unaweza zaa nayeMkuu natafuta mwanamke bikra hakika mimi nimetulia sana na nikimpata nitampenda sana na ikiwa yeye atanipenda pia huyo ndo nitakae muoa
ila kwa ambae nitamkuta siyo bikra nitaachana nae bila kuyajali machozi yake hata anipende vipi, kwakua nikimuoa moyo wangu hautaacha kuhisi nimeoa mpenzi wa mtu hivyo sitaweza kumpenda
Na nisipo pata nipo tayari kutokuoa kabisa .
Hapana siwez kuzaa na mwanamke nisiempenda kwakua sitaweza kuishi mbali na mtoto wangu nikiwa nipo hai Bora nimzalishe ninae mpenda ili tuishi wote na kumpata nitakae mpenda kigezo ni lazma awe bikraila mtoto unaweza zaa naye
Mkuu haijakuumaaa maana najua leo ungeitwa mama MhNaweza sema ni mwanaume aliyenipenda kuliko wanaume wote niliowahi tongozwa ama kuwa nao kimahusiano, ila moyo wangu kwake ukawa mzito hakushtua hisia zangu na kwa maadili na wema wake kwangu nikaona iko siku nitamuumiza na kuweka kumbukumbu mbaya kwake, nikamkataa,,, Kuna wakati ilikuwa karibu kabisa anioe,
mwaka huu Feb nikachomoa mazima, alisikitika mno,,........ Baada ya muda mama Samia akamlambisha uteuzi, kila la heri kwake
sasa mkuuu huyo bikira siukamuwahi labour huko.Hapana siwez kuzaa na mwanamke nisiempenda kwakua sitaweza kuishi mbali na mtoto wangu nikiwa nipo hai Bora nimzalishe ninae mpenda ili tuishi wote na kumpata nitakae mpenda kigezo ni lazma awe bikra
things have already fell apartMkuu haijakuumaaa maana najua leo ungeitwa mama Mh
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nimewaza tuuu