Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

TAMAA YA MALI ZA KONGO IMEMPELEKA KUZIMU.KAMA JI KWELI LAKINI
 
Nyamwasa hakufa najua ana jeraha la risasi!!

Naona baada ya kongo kutaka kugawanywa na yeye anaenda Kwa Mungu Mwenyezi kama ikiwa kweli!!

Halafu hasta museven na yeye anaonekana yupo ukingoni mwa utawala wake!!
 
Utawala wa Kagame una maadui wengi ndani na hata nje ya nchi, tena nyingine ni nchi jirani tu.... habari kama hii wanaifuatilia kwa makini.

zitto junior JokaKuu
 
km ni kweli AFE kabisa MNAFKI wa E.A huyu, mwili wake utupwe hata mtoni ili aliwe na mamba. mtoto wa mal*ya yeye. ameiharibu sana mashariki ya Congo huyo k*manisha, ameua waliofanikisha kumuweka pale kwenye DOLA.
 
Wanaodai kwamba dikteta Kagame akifariki eti nchi ya Rwanda itasambaratika ni wajinga na wanafiki tu. Hakuna mtu ambaye akifariki eti mambo yanaenda kombo, huo ni uongo kabisa.

Hata sisi wakati tukiwa shule kwenye miaka ya sabini huko kuna watu walikuwa wakidai kwamba eti Nyerere akifa Tanzania itaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ni ujinga mtupu kumfanya mtu kama Mungu. Bure kabisa.
 
km ni kweli AFE kabisa MNAFKI wa E.A huyu, mwili wake utupwe hata mtoni ili aliwe na mamba. mtoto wa mal*ya yeye. ameiharibu sana mashariki ya Congo huyo k*manisha, ameua waliofanikisha kumuweka pale kwenye DOLA.
Ule mgogoro wa pale Congo Mwamba alihusika nao sana/ ana husika nao sana . Watu wa aina hii kimadaraka kwenye Ulimwengu wa Giza hutakiwa kumwaga sana damu na kufanya Sana maKafara
 
Nimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema Paul Kagame hatuna nae tena.

Hii imekaaje wakuu?

Kuna ukweli wowote?

View attachment 3374802


Padri Thomas Nahimana, kiongozi wa chama cha upinzani Nchini Rwanda cha ISHEMA, amekuwa mstari wa mbele kusambaza uvumi kuhusu Rais Paul Kagame.

🛑 “Nilikuwa na vyanzo vya kuaminika…”

Nahimana alidai kuwa alikuwa na "credible sources" ambazo amelitaja kwamba Kagame alikuwa katika hali ya palliative care na anatumika kisiasa, akidai kuwa anahoji kama Rais anatunzwa hadi tuafikie stadi za kisiasa .

🕯️ “Nimetangaza kifo chake”

Padri huyo alidai rasmi kwamba Rais Kagame amefariki, akitoa taarifa hiyo jana Jumatatu kupitia mitandao ya kijamii, ingawa hakutoa ushahidi wa moja kwa moja wala chanzo maalum kinachotambulika .

👥 “Wanafanya kazi ya kuwamwaga uchochezi wa amani”

Katika matamko yake yaliyosambazwa kupitia akaunti zake za mitandao (Instagram/mitandao ya diaspora), Nahimana amemtaja Kagame na wasaidizi wake kama "terrorist militias", akitoa wito wa kuwaondoa kabisa kutoka madarakani .

Kumekuwepo na uvumi unaoenea kuhusu Rais Paul Kagame wa Rwanda 🇷🇼 ...Uvumi huu ulianza kusambaa katika mitandao ya kijamii kuanzia Jumamosi jioni na umeendelea kusambazwa hadi sasa, Mitandao mingi iliyochochea uvumi huo nikutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩...

Mitandaoni, hasa ndani ya Rwanda na Diaspora, kumekuwa na mjadala mkali; baadhi ya watu wanahisi Rais amepotea hadharani kwa muda mrefu.

Mamlaka za Rwanda hazijajibu uvumi Huu hii ikionekana kama hatua ya kudhibiti paniki, Chanzo cha uvumi huo kinaelezwa kuwa ni kutokuonekana hadharani kwa muda wa zaidi ya wiki 2 kitu ambacho hakijazoeleka, lakini pia kumekuwa na ukimya– serikali haijatoa taarifa rasmi kuhusiana na afya ya Rais, jambo ambalo limezua mjadala zaidi ndani ya Umma .

Hakuna ripoti rasmi kutoka vyombo vya habari nchini Rwanda au serikali kuhusu Taarifa hizi .

#halisimax #halisinewsflash #halisimediatz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…