Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Mtu akietaka kuwa rais hawezi kuwa na siasa za kitoto namna ile ndio maana toka jana nasema hana tofauti na mmawia wa hapa jf
Siasa za kizee ndio zipi hizo? mkipanda mawe mtavuna mawe tu, hamuwezi kupanda mawe mvune mchicha.
 
Waambie hilo gazeti linaloitwa Nation, Lisu na Ngurumo wampige picha huko Nairobi na watume Tanzania na waweke kwenye mitandao yao! Sijui wanakwama wapi kuleta ushahidi wa hayo maneno yao!!
Sasa si atoke tu hata kwenda ferry kuchukua samaki, shida iko wapi? Mbona Mpango walimtoa kwenye drip kuja kufanya press?
 
ndio mana kule twitter tunaingia kwa kitambulisho saivi
 
Hivi kutangaza kuwa Mungu ndiye mlinzi wa maisha yake hilo nalo ni kosa? Unataka asemeje? Hivi wewe kwa akili yako unadhani Mungu siyo mlinzi wako? Mungu akusamehe tu kuwa sababu hulijui ulisemalo! Hivi unadhani unavuta pumzi kwa nguvu zako mwenyewe? Wa kweli upagani ni mbaya!!!
 
Amina!
Ila ikumbukwe huyu mtu kwa maamuzi yake na kwa roho yake mbaya amesababusha vifo vya maelfu ya raia either direct or inderect.
Mwongo wewe! Kwa nini watu hamna shukrani? Mungu ametupa Rais mzuri mpaka makaburu wanatuonea wivu! Ni mchawi tu achukiaye mtu mwema!
 
Na hili ndo kubwa la kujadili, kama taarifa hizo ni za kweli.
 
Nchi imepigwa ganzi huku tetesi mbaya zikiendelea. Wenye dhamana ya usalama wa mh Rais kwanini mnaacha inafikia huku?

Mambo hayaendi hadi viboko? Tujulisheni hata kama kweli anaumwa tumwombee mpendwa wetu.
Huku mitaani hata hakuna hizo habari tatizo letu huku mitandaoni na tunafikiri kila kinachofanyika huku basi na mtaani ndio pako hivyo hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom