dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Vipi nyungu na maombiKuna Ulinzi wa kutisha Nairobi Hospital, kuna mdau wangu kule kaniambia.
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nyungu na maombiKuna Ulinzi wa kutisha Nairobi Hospital, kuna mdau wangu kule kaniambia.
Huu "uzushi" sasa hivi ni mkubwa sana. Lazima ujibiwe, sio lazima iwe maneno, anaweza akaenda hata kumsalimia Kikwete inatosha.Mzee wangu nakuheshimu sana na ninaungana na wewe watoe taarifa Kama anaumwa ila sioni kuwa ni sahihi ikiwa haumwi watoe taarifa kwa ajili ya kujibu tuhuma maana hawa wapuuzi wamekua wakizusha sio Mara moja wala mbili ni kawaida yao, je unaona ni sahihi kuwajibu hivo tuhuma zao ovu kila Mara?
Hata wakatiule (2019) walizusha mabaya na kufanya fujo zote mitandaoni. Alipoonekana akawatangazia msamaha kama alivyofanya Mhe. Mpango na Mhe. SabayaIfike mahali wakizusha ikabainika sio kweli wakione cha mtema kuni
Walimzushia Sabaya, kaonekana mzima hana hata dalili na bila aibu wapo tu wanadunda
Mimi nitasimama na Familia ya Azori kumuombeaTumuombee apone haraka kama anaumwa pia tofauti za kisiasa zisifike kwenye mambo ya afya.
Mmoja alisema yapo makundi mengine ya damu dawa zinadunda.Kwani ile ya china ilikuwa feki.Au ipo kwenye majaribio.Dawa za madagascar je ni og au feki, kujifukiza na maombi hata navyo vimeshindwa?
Kujifukiza na maombi jeMmoja alisema yapo makundi mengine ya damu dawa zinadunda.
Mungu you mwema atatenda zaidiMwezi tena ? Tunamuomba aonekane akiendelea na majukumu ndani ya wiki hii kama usemacho kinamantiki
Utajua hujuiHatuwezi kuendeshwa na waliokimbia Tanzania.
Asee nchi hii wajinga ni wengi ndugu yangu, walilazimisha Lissu atibiwe Muhimbili kwamba hospitali iko good Ila yeye kakimbiaMkuu hivi ni fahari Rais wa nchi flani kutibiwa nchi jirani huku akijitapa kuwa kaboresha miundo mbinu ya afya?