Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mlipotaka kumuua kwa kumpiga risasi alikushangaza pia kwa Mungu kumponya.Mimi hao wengine hawanishangazi maana ndio kazi yao huko mitandaoni ila mtu kama Lisu ndio kaniacha mdomo wazi.
Umejaa unafiki, tangu lini Lissu akawa mwenzenu?Mimi hao wengine hawanishangazi maana ndio kazi yao huko mitandaoni ila mtu kama Lisu ndio kaniacha mdomo wazi.
Khe poleNever.. Rais wa Tanzania hawezi kwenda kenya kutibiwa.. kwanza tuna facilities za kutosha kwa sasa pili kenya sio salama.
Sana assume kumuua mwenzako kisa uwe kiongozi jau mnoWatanzania tuna roho mbaya
Hakuna anae ombewaUsimuombee mwenzio mabaya kwa maana sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu hata kama unahasira na mtu msamehe tu maana imeandikwa samehe saba mara sabini kwa maana Mungu wetu ni wa msamaha, nakaribisha kukosolewa kama nimewakwaza maana hata mitume na manabii walisamehe na kusahau
Afadhali umemwambia! Hakosi ni adui wa Taifa huyu!! Nitashangaa kama hatakuwa kibaraka na wakala wa mabeberu!Wewe unazidisha taharuki kwa hii taarifa yako.
Ndio mada inavyosema?Hata mlipotaka kumuua kwa kumpiga risasi alikishangaza pia kwa Mungu kumponya.
Mtu akietaka kuwa rais hawezi kuwa na siasa za kitoto namna ile ndio maana toka jana nasema hana tofauti na mmawia wa hapa jfUmejaa unafiki, tangu lini Lissu akawa mwenzenu?
Anaumwaje mkuu? Kwani lile li convoy jammer na mitutu ile imeshindwa kuzuia mashambulizi?