Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Walishasema kwasasa hawatatumia sana vyombo vya habari kwenye kila kitu wanafanya. Siasa ina njia nyingi
 
Hivi nikisema indirect unaslewa lakini?
Mtu anapokufa kwa kukosa dawa maana yake nini?
Mtu anapokufa kwa pressure baada ya nyumba yake kubomolewa maana yake nini?
Mtu anayejinyonga kwa msongo wa mawazo maana yake nini?
Huna point! Jitahidi kuwajibika kwa ajili maisha yako mwenyewe! Usiwabebeshe wengine matatizo yako.
 
 
Hakuja kanisani kwa sababu viongozi wa kanisa lake wana mitazamo tofauti na yake.
 
Wanasahau kwamba Rais ni Taasisi na walipa kodi wanawajibu wa kujua hata akienda likizo ili kama likizo zimezidi waweze kuhoji kama wanapata value for money kwa kodi zao.

Yaani ni mtumishi wetu kama vile wewe umeajiri mlinzi au baby sitter alafu hujui alipo (sasa una uhakika upi kama mali zinalindwa)
 
Hivi wote waliowahi kuugua corona duniani kote walikuwa hawachukui tahadhari? Kwa hiyo waziri mkuu wa uingereza alikuwa hachukui tahadhari?

Trump alipokuwa Rais wa Marekani alikuwa hachukui tahadhari? Makamu wake alikuwa alikuwa hachukui tahadhari? Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!!au unadhani wale wote ambao hawajaugua corona wao ndio wataalamu Sana wa kuchukua tahadhari kuliko waziri mkuu wa Uingereza na Trump? Mwacheni Mungu aitwe Mungu! Chanzo cha maarifa ni kumjua Mungu.

Ukweli ni kwamba ulinzi namba moja ni Mungu!! Bila yeye tahadhari zote hazifui dafu!! Sisemi kwamba tahadhari watu wasichukue, lakini nasema Mungu kwanza tahadhari baadaye kama alivyotuasa Rais wetu kuwa Watanzania tumtangulize Mungu.
 
Dah....Yanga bana...mnatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
That County’s President and his Finance Minister has also been flown into a Nairobi Hospital one and a half hr ago.
 
Ibada ya Maombi nchi nzima itaanza lini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…