Ni kweli maana unaweza ukazushiwa kesi ya uhujum uchumi mpaka ukafia jela wakati huna kosa lolote.Binadamu ni watu wa ajabu kabisa hasa sisi watanzania...
Hasira za nini? Corona inaua ujueAlyeilaumu chadema ni nani, be specific.
Hayo ni matatizo ya watu wachache wasiokubali kuwajibika kwa magumu wanayokutana nayo. Husukumia wajibu wao kwa watu wengine hasa viongozi wakuu!! Mtu ana maisha magumu badala ya kutafuta namna ya kukabiliana nayo anaona wengine ndio wanaohusika kusababisha ugumu huo! Watu wa jinsi hiyo huwa hawatoboi katika maisha! Mpaka anazeeka huwa hafanikiwi!Ukiona ndani ya jamii uliyomo ukipata matatizo wanasherehekea jiulize mara mbili mbili kuna nini? kwa uzoefu wangu wa miaka hii 70 niliyonayo viongozi wetu wa awamu hii wakipatwa na janga lolote wananchi wanashangilia. Kuna nini?
Maneno yapi mkuu, ambayo "hayafai, hayana adabu wala heshima, yamejaa uongo..."?Maneno yako hayafai, hayana adabu wala heshima, yamejaa uongo na sijui ni kwa faida ya nani?
Wajitokeze hadharani waseme kama anaumwa au laYaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?....
Amina.Mimi Nazidi Kumuombea Awe Na Afya Njema Daima
Kwani wakati wa utawala wa wenzake maisha yalikuwa rahisi? Mbona kwa mfano mimi kwa sasa nipo nafuu kiuchumi kuliko utawala wowote wa nchi yetu ila jamaa hapana! Kwangu mtu asiyejali utu wa mwingine simkubali hata akitununulia Noah sisi wote.Hayo ni matatizo ya watu wachache wasiokubali kuwajibika kwa magumu oaks wanayokutana nayo. Husukumia wajibu wao kwa watu wengine hasa viongozi wakuu!! Mtu ana maisha magumu badala ya kutafuta namna ya kukabiliana nayo anaona wengine ndio wanaohusika kusababisha ugumu huo! Watu wa jinsi hiyo huwa hawatoboi katika maisha! Mpaka anazeeka huwa hafanikiwi!
Good for you!Asante! Lakini ukweli unabaki kuwa Mungu ametupa Rais mzuri sana Tanzania.
Kama hawajasema kuwa anaumwa maana yake haumwi. Kwa nini unachokonoa?Wajitokeze hadharani waseme kama anaumwa au la
Huzuni yenu siyo huzuni yetu KILA mtu ahuzunike kwa wakati wake.Watu wengi wa wapi? Hawa ni wajinga wa chadema,ndio hao hao kila siku wanalialia humu
Tanzania iliondoka na Nyerere hii nchi SASA hivi inaitwa CCM.Tuombeane mema ndugu
zanguni,haijalishi tunayo
mengi kiasi gani mioyoni.
Mungu ibariki Tanzania,
Tubariki watoto wa TZ.
Ni kweli.Tuombeane mema ndugu
zanguni,haijalishi tunayo
mengi kiasi gani mioyoni.
Mungu ibariki Tanzania,
Tubariki watoto wa TZ.
Kweli kabisa ndugu,inashangaza sanaHayo ni matatizo ya watu wachache wasiokubali kuwajibika kwa magumu wanayokutana nayo. Husukumia wajibu wao kwa watu wengine hasa viongozi wakuu!! Mtu ana maisha magumu badala ya kutafuta namna ya kukabiliana nayo anaona wengine ndio wanaohusika kusababisha ugumu huo! Watu wa jinsi hiyo huwa hawatoboi katika maisha! Mpaka anazeeka huwa hafanikiwi!
Umenifurahisha sana haaaaaaahaaaBarabara za masimango kama vile kajenga kwa hela za mamake, wakati ni kodi zetu. Aende tu kumsalimia Nyerere, barabara tutajenga wenyewe.
Rais hana privacy halafu hizo kazi anapigia uvunguni?Wabongo kwa speculation hamjambo jiwe yuko fit anaendelea na kazi za ujenzi wa taifa rais sio kama kina diamond awe anauza sura kila siku kwenye media nae anahitaji privacy afanye mambo kwa utulivu usikute yuko mahali kuna pisi anaichakata
Sawa, hii nchi Sasa inaitwa CCM, Unatakaje Sasa?Tanzania iliondoka na Nyerere hii nchi SASA hivi inaitwa CCM.