ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Tupige kura, wanaosema afadhali na wanaotaka alone, ndio uzalendo huo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tumeumbukaje?
Lissu kuzusha uzushi na nyie misukule yake kushabikia ndio kuumbuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupige kura, wanaosema afadhali na wanaotaka alone, ndio uzalendo huo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tumeumbukaje?
Lissu kuzusha uzushi na nyie misukule yake kushabikia ndio kuumbuka?
Kikulacho lazima kiwe nguoni mwako.Yupo kundi moja na akina Nape & January haaaaa
Ana u-special gani mpaka hivyo vyombo vijielekeze kwa mgonjwa huyo mmoja tu?Mmh mpaka vyombo vya habari Kenya vimethibitisha kuwepo na mgonjwa wa Covid kutoka Tanzania.
Jifunzeni kubakiza hakiba ya maneno - sasa comments zako tuziiteje, je, nikumsifia JPM, kumkejeri or both - wa kale walisema kama huna jambo jema la kumsema binadamu mwenzako ni busara ukakaa kimya, kukejeri mtu mgonjwa ni ukosefu wa UTU.Magufuli akifa sijui Kama tutapata rais Kama huyu.jasiri mwenye msimamo
Ila tatizo lake moja tu kuondoa watumish hewa halafu kushindwa kuweka vijana wasomi kwenye hizo nafasi..halafu msomi mzima unayemwamini MUNGU unaenda kwa babu wa loliondo kupata kikombe?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kiongozi wa nchiAna u-special gani mpaka hivyo vyombo vijielekeze kwa mgonjwa huyo mmoja tu?
Mwenye misimamo yake📌🔨Ni kiongozi wa nchi
People are talking about presidency not a man.Huu upuuzi wa mwanaume kuulizia mwanaume mwenzake yuko wapi ni dalili za ushoga
Dada nahisi hujalala kabisa leo, usiku wa saa nane na nusu nilikuacha kwenye huu uzi, nimeamka Nimeona post zako za tangu saa kumi na hadi sasa saa mojaHaki inaweza kuchelewa lakini haipotei.
Nan mgonjwa mkuu? Umeniachq kidgJifunzeni kubakiza hakiba ya maneno - sasa comments zako tuziiteje, je, nikumsifia JPM, kumkejeri or both - wa kale walisema kama huna jambo jema la kumsema binadamu mwenzako ni busara ukakaa kimya, kukejeri mtu mgonjwa ni ukosefu wa UTU.
Tusi la bibi yangu tumbafu🤣Akili za magamba wengi ndio hizi anatoa povu kulalamaaa badae anasema naunga mkono hoja tumbaf
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mitano tena.The radio silence is not cool at all.
Somebody in the know say something, please.
Mtakaa kimya mpaka lini? Kwani kama mtu anaumwa, huko kuumwa ni jambo la ajabu sana, au? Binadamu gani ambaye huwa haumwi?
Kama mtu amekufa, napo nini cha ajabu? Nani ambaye hatakufa?
Cut this ridiculous nonsense of radio silence. It’s gone on for too long now. And yes, even a single day is one too many!
What’s there to hide that is so bad?
Stop making our country live up to the label of a banana republic.
What will you lose if you tell us what is going on?
A bruised ego? An injured pride? A blown cover of a macho facade?
If he is sick, so be it. We all get sick.
If he is dead, oh well! It is what it is. It’s a guaranteed fate that will befall all of us.
Matter of fact, it [death] is the single greatest equalizer for humankind. It is no respecter of persons.
It’s like he has resolved that his ego is his hill to die on.
I remember I once said that his ego was not his amigo.
This is some weird shit. For days now we’ve been dealing with a maelstrom of confusion about his whereabouts.
And they think that is OK? WTF!!!!
Mr. President sir, listen to me. You are not a superman. You are a mere mortal just like the rest of us.
I don’t know what is going on with you. Maybe you are sick or maybe you are not.
Whatever the case may be, you owe us a word. Unless, you enjoy and are proud of leading a banana republic.
Wherever you are...whatever you are dealing with, my hope is you pull through.
After you pull through, a wee bit of introspection won’t hurt....
Now say something...
In Tanzania everyone is presidential material.Niliposema Antipasu siyo "presidential material" mlidhani nawadanganya ?
Cabinet ya Meko ni One Man Show. Kila kitu lazima aamue yeye. Wanaogopa kutangaza kuwa anaumwa mpaka yeye mwenyewe awaruhusu.The radio silence is not cool at all.
Somebody in the know say something, please.
Mtakaa kimya mpaka lini? Kwani kama mtu anaumwa, huko kuumwa ni jambo la ajabu sana, au? Binadamu gani ambaye huwa haumwi?
Kama mtu amekufa, napo nini cha ajabu? Nani ambaye hatakufa?
Cut this ridiculous nonsense of radio silence. It’s gone on for too long now. And yes, even a single day is one too many!
What’s there to hide that is so bad?
Stop making our country live up to the label of a banana republic.
What will you lose if you tell us what is going on?
A bruised ego? An injured pride? A blown cover of a macho facade?
If he is sick, so be it. We all get sick.
If he is dead, oh well! It is what it is. It’s a guaranteed fate that will befall all of us.
Matter of fact, it [death] is the single greatest equalizer for humankind. It is no respecter of persons.
It’s like he has resolved that his ego is his hill to die on.
I remember I once said that his ego was not his amigo.
This is some weird shit. For days now we’ve been dealing with a maelstrom of confusion about his whereabouts.
And they think that is OK? WTF!!!!
Mr. President sir, listen to me. You are not a superman. You are a mere mortal just like the rest of us.
I don’t know what is going on with you. Maybe you are sick or maybe you are not.
Whatever the case may be, you owe us a word. Unless, you enjoy and are proud of leading a banana republic.
Wherever you are...whatever you are dealing with, my hope is you pull through.
After you pull through, a wee bit of introspection won’t hurt....
Now say something...
Try to be patient! Problem with you Tanzanians you always act like firemen! You act and want things to be handled as if the world is no more.
Everything has got it's discipline and ethics,that's why people of your kind are not in the system!