Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Korona ua shambulio la moyo?
Dr Abbas na Yule msemaji wa ikulu mnatuangusha. Malizeni hii kadhia.
Dr Abbas na Yule msemaji wa ikulu mnatuangusha. Malizeni hii kadhia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaaaaaDawa ya tetesi ni Rais aonekane live. Wakati tukisubiri hilo acha tufurahie haya madongo yanayorushwa toka pande zote
Yawezeka wewe ndivyo unavyoishi, Ivo usifikiri kuwa wanaume wote ni mashogaHuu upuuzi wa mwanaume kuulizia mwanaume mwenzake yuko wapi ni dalili za ushoga
Ana bahati Magufuli kuwazwa na watoto wazuri.watuambie basi alipo jamani tuwaze mambo mengine
toka juzi tunamuwaza yeye tu
👍👍👍Sio ujasili ni ujasiri
Vipi Lissu mliempiga risasi vipi Azori na akina Akwilina na Ben Sanane?Kuna watu sijui walisomea ujinga wa standard gauge huko shuleni, HIVI HUU UZUSHI UNASAIDIA NINI, AJABU NI KWAMBA BADO KUNA WATU WANAFURAHIA RAIS APATWE NA MABAYA. SHAME INDEED
Au kwani ni yeye ndio kauleta?Kwani kama ikiwa corona, ndo nini sasa?
Si ni ugonjwa tu.
Ye ndo wa kwanza kuipata?
Ha ha ha anazinadi ikiwa yeye anakimbilia hospitalMtafutieni NiMRICAF, BUPIJI na Nyungu
Huko hospitalini anakwenda kufanya nini?
Wewe umefika hapo NH? Au ni mfagizi hapo?Kuna haja ya kuwashitaki wakenya ukiingia kwenye mitandao yao ni story ya jamaa kuugua,wanadai eti kuna ulinzi hatari hapo NH,wakati sio kweli.
Umeambiwa Raila Odinga ndiye mwanasiasa wa afrika mashariki anayeumwa, ambacho hujaelewa ni nini?The radio silence is not cool at all.
Somebody in the know say something, please.
Mtakaa kimya mpaka lini? Kwani kama mtu anaumwa, huko kuumwa ni jambo la ajabu sana, au? Binadamu gani ambaye huwa haumwi?
Kama mtu amekufa, napo nini cha ajabu? Nani ambaye hatakufa?
Cut this ridiculous nonsense of radio silence. It’s gone on for too long now. And yes, even a single day is one too many!
What’s there to hide that is so bad?
Stop making our country live up to the label of a banana republic.
What will you lose if you tell us what is going on?
A bruised ego? An injured pride? A blown cover of a macho facade?
If he is sick, so be it. We all get sick.
If he is dead, oh well! It is what it is. It’s a guaranteed fate that will befall all of us.
Matter of fact, it [death] is the single greatest equalizer for humankind. It is no respecter of persons.
It’s like he has resolved that his ego is his hill to die on.
I remember I once said that his ego was not his amigo.
This is some weird shit. For days now we’ve been dealing with a maelstrom of confusion about his whereabouts.
And they think that is OK? WTF!!!!
Mr. President sir, listen to me. You are not a superman. You are a mere mortal just like the rest of us.
I don’t know what is going on with you. Maybe you are sick or maybe you are not.
Whatever the case may be, you owe us a word. Unless, you enjoy and are proud of leading a banana republic.
Wherever you are...whatever you are dealing with, my hope is you pull through.
After you pull through, a wee bit of introspection won’t hurt....
Now say something...
Kwa sababu kwa sasa mzee yeye ndo kaubinafsisha ufisadi woteJinsi navyompenda rais.. namuombea awe mzima muda wote.. mafisadi watatamba sana kama zamani
Lissu ndio mtoa taarifa wa serikaliLissu hakuuliza bali anajua anasema alipo na alikuwa njiani kupelekwa India. Huko sio kuuliza ni kutoa taarifa ya anachokijua. Na vyombo vyote vya nje vina mnukuu Lissu!!