North Korea Rais hakuonekana miezi miwili, siyo lazima aonekane kila siku RaisKorona ua shambulio la moyo?
Dr Abbas na Yule msemaji wa ikulu mnatuangusha. Malizeni hii kadhia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
North Korea Rais hakuonekana miezi miwili, siyo lazima aonekane kila siku RaisKorona ua shambulio la moyo?
Dr Abbas na Yule msemaji wa ikulu mnatuangusha. Malizeni hii kadhia.
Tupeleke uji au uji umerudishwa?[emoji1787]
Kwaniii lazima iwe hivyo unavyotaka wewe?Duuh duuh! Kumekuchaaaa!
Mwigulu mipovu yote??
Wanashindwaje kujibu swali jepesi tu hili!
Atengue ateue aapishe hadharani, anakata mzizi wa fitina, wambeya kushnehi!
Everyday is Saturday............................... 😎
🤣🤣🤣Hakuna kwenda nje kutibiwa...Kenya ni mkoa hapa TZ!??Mtafutieni NiMRICAF, BUPIJI na Nyungu
Huko hospitalini anakwenda kufanya nini?
Una ushahidi ,au mihemko inakupelekesha, jamaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna kwenda nje kutibiwa...Kenya ni mkoa hapa TZ!??
Lissu kakwambia unataka nani mwingine akwambieeeWatuambie basi alipo jamani tuwaze mambo mengine
toka juzi tunamuwaza yeye tu.
Ingia kwenye mitandao yao,ujasoma vizuri.Wewe umefika hapo NH? Au ni mfagizi hapo?
Jukwaa huru nimetoa maoni!Kwaniii lazima iwe hivyo unavyotaka wewe?
Kwani TV yako inashika tibisii tu?Una ushahidi ,au mihemuko inakupelekesha,jamaa.
Je, hii Video ni jana?Sasa ku-post video ya zamani na kuonekana ni ya tarehe 10/03/2021 ina maana gani? Halafu watu wasivyokuwa wadadisi wanaamini kuwa ni video mpya wakati kuna ishara zinazoonesha ni video ya zamani. Kuna tofauti kati ya tarehe ya kurekodi na tarehe ya ku-post...
Tibisiii ndio niniKwani TV yako inashika tibisii tu?
Ndiyo akili ya mwafrika hiyo.kufanya mambo ya kipuuziMalawi waliwahi kusafirisha maiti ya bingu wa mutharika had Afrika ya kusini, alifia malawi lakini jamaa wakabeba hadi South. Isijekuwa mkulu mkulu nae Israel kafika.
Rais wa Sudan huyo kutokana na source za uhakika.Inasemekana ni kwamba kuna kiongozi yupo kenya na anaogeshwa na manesi wa Kikenya pamoja na viburi vyetu vya kijinga.
Kumbe.....Rais wa Sudan huyo kutokana na source za uhakika.
No, Kama kweli anaumwa kupona nayo ni possibility.Soon palapanda litalia
Kumbe.....
Mimi Sina cha kusupport CCM hata Lumumba sijui ilipo ila toka tupate Uhuru umewahi sikia kiongozi wa nchi kalazwa Kenya? kwa nini vijana kwa mtazamo wangu wamekuwa na uelewa wa chini kuhusu dunia kiasi hiki?Duh naona leo ID za spare zote kutoka lumumba zinerudi... daah Wo shi niubi, brigadia chan ocha... Sheiza.... n.k leo zipo kazini....
Mzee za siku?