Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Nae ni binadamu kama sisi kuumwa ni kawaida. Ila kuongelea mtu wakati hujui lolote ni ujinga tuuachie muda uongee
 
Kuna watu wanatumia nguvu nyingi sana bada ya akili kutetea sahani zao.
Kuna mambo mengine unakaa tu kimya yanapita au ukweli unajulikana kuliko kuropoka halafu baada ya masaa machache tu muda unakuumbua.
 
Mwigulu anaargue kama standard four failure. Sheria ipi imevunjwa?

Jibu zuri zaidi ni Rais mwenyewe kujitokeza na kuonekana yupo mzima wa afya na sio hizi ngonjera za akina Mwigulu. Kwa sasa media kubwa kama BBC zimeshaanza kureport hii kitu
 
Hawajiulizi likitokea la kutokea wataficha wapi sura zao?

Hawajiulizi kuwa Lissu ndio ataonekana mshindi japo katika hili hatutafuti mshindi?

Je,wataendelea kukaa kimya hata akiugua kwa muda mrefu?

Wakumbuke Sharon wa Israel aliugua muda mrefu akiwa kwenye coma mpaka watu wakasau.
 
Sijaua kama wewe muuaji uliyehusika na shambulizi Lissu na miili iliyookotwa ufukweni mwa bahari.
Vipi kule Soweto Arusha? Akasema " kesho msiende kwenye mkutano wao kwani mtakufa". Kesho ikafika tena yenye bomu na risasi juu. Hadi sasa tunao yatima, wajane na wagane wa tukio hilo, na bado anajiona ni Presidential material.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duuh duuh! Kumekuchaaaa!
Mwigulu mipovu yote??
Wanashindwaje kujibu swali jepesi tu hili!

Atengue ateue aapishe hadharani, anakata mzizi wa fitina, wambeya kushnehi!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nchi ya kutishiana hii ukiongea ukweli ni shidaaaa,, ukisifia upumbavu ni shangwe!!!
 
Rais yupo salama salimini - alipomteua katibu mkuu kiongozi mpya, ili.bidi wajifungie kusudi amweleze matarajio yake kwake! Wapitie kila jambo linalohusu nchi, bila kuachia kitu. Hii exercise ni ndefu. Baada ya hapo ataanza majukumu yake ya kawaida na mtamuona.
Kuna haja ya kuwashitaki wakenya ukiingia kwenye mitandao yao ni story ya jamaa kuugua,wanadai eti kuna ulinzi hatari hapo NH,wakati sio kweli.
 
Kuna watu sijui walisomea ujinga wa standard gauge huko shuleni, HIVI HUU UZUSHI UNASAIDIA NINI, AJABU NI KWAMBA BADO KUNA WATU WANAFURAHIA RAIS APATWE NA MABAYA. SHAME INDEED
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom