Jukwaa huru ndio maana na yeye ana uhuru wa kuonekana au kuto onekanama.Jukwaa huru nimetoa maoni!
Wapi nimelazimisha!?[emoji848]
Everyday is Saturday............................... 😎
Wewe inakuhusu nini? By msaga sumu.Dada nahisi hujalala kabisa leo, usiku wa saa nane na nusu nilikuacha kwenye huu uzi, nimeamka Nimeona post zako za tangu saa kumi na hadi sasa saa moja
Huyu si alipona akafanya na press!Nina imani hata Dr Mpango akirudi atakuwa anavaa barakoa kubwa la ajabu
KIM wa Korea kaskazini ali mute kwa miezi miwili mbona maisha yaliendelea, na dunia haikusimama, ukimya huu unawawashawasha nini. Serikali iko kazini, ina deal na strategical issues. Lissu ni jobless lakini analipwa mshahara wa kubwabwajaNadhani kupitia mtandao wa Instagram, Mwigulu ameandika kumkosoa Lissu juu ya kutoa taarifa za kinachoendelea Nairobi akisema ni upumbavu huku akilmtisha kwa kutumia sheria ya mitandao....
Alikuwa bado waling'ang'anizaHuyu si alipona akafanya na press!
Kazi ipo....Alikuwa bado waling'ang'aniza
Si Jambo zuri sababu badala ya furaha itakujia huzuni. Kuna wakati hata usiyempenda akifariki jema lake moja linaweza likakutoa chozi.Soon palapanda litalia
No. It is not true. Simply because, our laws demand that only someone with a first degree is eligible to contest for presidential post. Unfortunately, it's not true that every Tanzanian has got the first degree.In Tanzania everyone is presidential material.
Umezaliwa jana?Lissu alipopata matatizo Watanzania wote tulimwonea huruma. Lakin yeye kumbe hana huruma kabisa. Hana ubinadamu.
Tageti yako haikuwa kumpa kilema Lissu ilikuwa umuuwe Ila ndiyo hivyo Mwenye Mbigu kakataaMajungu na propaganda za JF hazitakwisha. Hapo ndipo tulipofikia, rais yupo busy na kazi nyinyi mnapiga tunguli huku. Hii sio mara ya Kwanza mnaendeshwa na misukule miwili Zito Kabwe na huyo kilema Tundu Lisu (Yes misukule kwa sababu inaangalia maslahi yao binafsi) kama mnawapenda nendeni mkanywe nao chao.
Jamaa inabidi apewe smooth/ kachumbari za nimr..hahahaMtafutieni NiMRICAF, BUPIJI na Nyungu
Huko hospitalini anakwenda kufanya nini?
Aisee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Kwanza kuumwa tu hapa nimepiga wanangu Hennessy za kutosha
Akisepa naweka sherehe kubwa kabisa na mziki na MC kabisa.
Yaani leo nimefurahi sana jamani.
Tualikane kaka hiyo siku.Kahama ni elf5 kwa wasukuma. Ila mi ntamchinja nguruwe wangu tumfanye kitoweo.
Ninayo mafungu kadhaa ya konyagi kuubwa ile yenye picha ya mwanamke. Faru fausta sio faru jon tena.
Tutajitenga kabisa ili kuepuka covid au nasema uongo ndugu yangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
hahahaaa jamanAna bahati Magufuli kuwazwa na watoto wazuri.
huo msemo hau apply hapaCheck out
View attachment 1722432