Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Wewe utakuwa unaota ndoto za Alinacha....!!!!MMEFELI TENA MTIHANI CHADEMA SUBIRINI BAADA YA MIAKA 1000 KUITAWALA TANZANIA
π€£π€£π€£
Mkewe alipougua akampeleka MNH tena Grade 3 akidai ati ni Uzalendo....!!!!Si angejifukiza tu pale MNH?
Umeingiziwa tango pori na hawa wapuuzi nawe ukakubaliSasa mbona umedai kakimbilia Nairobi?
Nimekubali nini?Umeingiziwa tango pori na hawa wapuuzi nawe ukakubali
Acha kutisha wenzio weweVijana fanyeni kazi hii nchi hamuijui inavyoendeshwa, hao walio nje ya nchi watawaponza, mtazolewa wote mwende segerea kwasababu za kipuuzi kabisa
Familia yako ndio itapata shida narudia tena familia yako ndio itapata shida
NB: Ikumbuke sheria ya mtandao halafu tafakari unachokiandika humu.
Wewe ni nani? Vikaragosi wenzio hawatapata jibu rais utamwona tu pale wakati ratiba yake inaruhusu wewe kapuku kumwona sio kutegemea kikaragosi kilicho Belgium kitapike makande kilichonywesha. Mtakoma miaka hii hamchomoki mtu. Nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeUnadhirisha wewe ni kikaragosi tu cha Jiwe huna lolote....!!!
Bila ya shaka ni walewale mnaopiga kampeni za chinichini ili Jiwe aongezewe muda wa Urahisi from 5 to 7 years....!!!
Huo ujinga pelekeni Chato kama mwataka aendelee mtampa huo Ubunge, u-DC ,u-RC hata ubalozi wa kaya....!!!ISi mwampenda?
Mimi nasema hivi, kama habari hizi ni za kweli au za uongo yuko wapi MSEMAJI WA SERIKALI ILI AKANUSHE AU KUKUBALI HABARI HII YA UGONJWA WA RAIS ILI KUONDOA RUMOURS???
Ni ya serikali, hao jamaa wanaodai wagonjwa hawaruhusiwi kuingia KNH waache 'chai' isio sukari π€£π€£π€£ Hata ka kuna mkubwa flani hapo basi ni floor au unit aliyoko ndio itaekwa ulinzi na kuzuiwa watu wengine kando na familia na madaktari kufika hapo lakini Floor zingine zitachapa kazi kama kawaida yao. Wagonjwa wanaohudumiwa pale ni wengi sana, so hakuna kudanganyana hapa! Ishaisha iyo!!!Hivi Nairobi hospital ni ya serikali kama Muhimbili au ni zile za Agakhan?
Na bado.Majungu tu hayo, Rais yupo mzima na afya tele anapumnzika. Serikali ya Tanzania haiwezi kuficha maradhi yoyote yale tena ya Rais. Vijana wengi mmekumbwa na ugonjwa sijui wa aina gani. Ati habari za kuokoteza okoteza huku na kule kutoka kwa kilema Tundu Lisu ndio mmezishikia Bango.
Mtakoma tu, hatoki mtu zile za kuchuma na kusaza hakuna tena Governor yupo macho mkijaribu tu mtakiona cha ntema kuni.
Ili kujua huo ni uchuro kwamba yupo Kenya - Hawezi kwenda Kutibiwa Kenya, yupo tayari kufa bila tiba, shujaa wa kweli.
Hako "kakikundi kadogo" kachukulie kama sampuli.Wananchi gani ndugu? Kakikundi kadogo tu mtandaoni.
π π π π πHuu uzi ni kama ule wa tunda kimasihara
π π πTanzania kuna upuuzi na ujinga mwingi sana.
Kuna mijitu inamwona Magufuli kama "kimungu mtu" fulani hivi....!!!!!
Haugui, hasemwi,hakosolewi,hashauriki,haambiliki!!! Yeye ni kila kitu, yeye ndiye mwenye uweza wote na haogopi chochote, si COVID-19 wala kifo!! Ni Rais wa ajabu kuwahi tokea katika Sayari hii ya dunia........!!!!
Nairobi wamekanusha. Tundu Lisu alipewa taarifa toka Nairobi!Kwahiyo we mzee wa mbinguni unataka kutuambia prezidaa yuko nyumbani kwenu salama kabisa?
Uko speed ya juu hataree! π€£π π π π π
Unatembea soidi sana aiseee.....
Hili la Magufuli hadi Lissu kujiingiza litamchafua!
Kiaina aina πHuu uzi ni kama ule wa tunda kimasihara