Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Si angejifukiza tu pale MNH?
Mkewe alipougua akampeleka MNH tena Grade 3 akidai ati ni Uzalendo....!!!!
Katibu Mkuu Kiongozi alipougua akampeleka MNH kwa hoja zilezile.....!!
Maalimu Seifu alipougua akapelekwa Mnazi 1 na baadaye MNH.....!!!
Waziri Mipango alipougua naye akapelekwa Mkapa Dodoma kwa hoja TUPENDE VYA KWETU.........!!
Mkulu wa nji kaugua akakimbilia hospitali za nje..........!!!!
 
Alituzoesha kumuona/kumsikia mara kwa mara kwenye vyombo vya habari sasa ni muda mrefu hatumsikii wala hatumuoni.Si wote wanaouliza alipo wanakejeli wengine tu wanajiuliza kulikoni ni vyema wakaambiwa alipo kuliko kuambiwa kiongozi wa nchi siyo mtangazaji wa tv mara parish worker
 
Vijana fanyeni kazi hii nchi hamuijui inavyoendeshwa, hao walio nje ya nchi watawaponza, mtazolewa wote mwende segerea kwasababu za kipuuzi kabisa

Familia yako ndio itapata shida narudia tena familia yako ndio itapata shida

NB: Ikumbuke sheria ya mtandao halafu tafakari unachokiandika humu.
Acha kutisha wenzio wewe
 
Unadhirisha wewe ni kikaragosi tu cha Jiwe huna lolote....!!!
Bila ya shaka ni walewale mnaopiga kampeni za chinichini ili Jiwe aongezewe muda wa Urahisi from 5 to 7 years....!!!
Huo ujinga pelekeni Chato kama mwataka aendelee mtampa huo Ubunge, u-DC ,u-RC hata ubalozi wa kaya....!!!ISi mwampenda?
Mimi nasema hivi, kama habari hizi ni za kweli au za uongo yuko wapi MSEMAJI WA SERIKALI ILI AKANUSHE AU KUKUBALI HABARI HII YA UGONJWA WA RAIS ILI KUONDOA RUMOURS???
Wewe ni nani? Vikaragosi wenzio hawatapata jibu rais utamwona tu pale wakati ratiba yake inaruhusu wewe kapuku kumwona sio kutegemea kikaragosi kilicho Belgium kitapike makande kilichonywesha. Mtakoma miaka hii hamchomoki mtu. Nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hivi Nairobi hospital ni ya serikali kama Muhimbili au ni zile za Agakhan?
Ni ya serikali, hao jamaa wanaodai wagonjwa hawaruhusiwi kuingia KNH waache 'chai' isio sukari 🤣🤣🤣 Hata ka kuna mkubwa flani hapo basi ni floor au unit aliyoko ndio itaekwa ulinzi na kuzuiwa watu wengine kando na familia na madaktari kufika hapo lakini Floor zingine zitachapa kazi kama kawaida yao. Wagonjwa wanaohudumiwa pale ni wengi sana, so hakuna kudanganyana hapa! Ishaisha iyo!!!
✌️
 
Majungu tu hayo, Rais yupo mzima na afya tele anapumnzika. Serikali ya Tanzania haiwezi kuficha maradhi yoyote yale tena ya Rais. Vijana wengi mmekumbwa na ugonjwa sijui wa aina gani. Ati habari za kuokoteza okoteza huku na kule kutoka kwa kilema Tundu Lisu ndio mmezishikia Bango.

Mtakoma tu, hatoki mtu zile za kuchuma na kusaza hakuna tena Governor yupo macho mkijaribu tu mtakiona cha ntema kuni.

Ili kujua huo ni uchuro kwamba yupo Kenya - Hawezi kwenda Kutibiwa Kenya, yupo tayari kufa bila tiba, shujaa wa kweli.
Na bado.
 
Wananchi gani ndugu? Kakikundi kadogo tu mtandaoni.
Hako "kakikundi kadogo" kachukulie kama sampuli.

Hata kama hakawezi kuwa wakilishi sahihi ya jamii, lakini ni kakikundi usikoweza kukadharau moja kwa moja kuwa jamii nzima ina hisia fulANI juu ya kiongozi huyu.

Hatuwezi kupita huko mitaani kuuliza kila mwananchi juu ya swala hilo.
 
Tanzania kuna upuuzi na ujinga mwingi sana.
Kuna mijitu inamwona Magufuli kama "kimungu mtu" fulani hivi....!!!!!
Haugui, hasemwi,hakosolewi,hashauriki,haambiliki!!! Yeye ni kila kitu, yeye ndiye mwenye uweza wote na haogopi chochote, si COVID-19 wala kifo!! Ni Rais wa ajabu kuwahi tokea katika Sayari hii ya dunia........!!!!
😂 😂 😂
✌️
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom