Yawezekana wamezidiwa na wagonjwa wa matatizo ya kupumua na ventilator zimeisha.Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Na mawinguMwaka huu maneno yatakuwa mengi iseee..
Ingekuwa Binadamu ni Mungu duniani yangebaki maji
Utandawazi wa leo guns la kuficha, uombe wakusetiri tu.Allen Kilewella bora wakae kimya!
Kwa necha ya wabongo kama wale wa kule twittani ikitangazwa itakuwa ni fujo!
Usisahau pia kutangazwa kutakecreate power struggle kule juu,na ukumbuke kama ni kweli na yakatokea mengine zaidi,kikatiba tunarudi kwenye uchaguzi!
Unakumbuka tulipotaka kumuombea tundu lissu mlitutawanya kwa mabomu? Haya ndiyo matunda yake sasa, ukipanda chuki utavuna chuki.Mila na desturi zetu waafrika zipo wazi kabisa, sio jambo jema kufurahia matatizo ya mwenzako hata kama ni adui yako. Hasa suala la ugonjwa na msiba sio la kufurahi linapompata binadamu mwenzako.
Wananchi walipiga kura na Ccm ikapata ushindi mkubwa huku rais akipata 84% na wabunge 97% sioni sababu ya kumchukia kiongozi au mwanaCcm akipata ugonjwa au msiba.
Ushahidi alipita nao hivi Kanga lugoloooloNimuue Tundu Lisu kwa lipi? Weka ushahidi basi kama kweli wewe ni muwazi?
Kumbe upo gizani! Mafisadi awamu hii wamehitmu na kupanda daraja. Wamekuwa mafisadi papa. Hawakamatiki.Jinsi navyompenda rais.. namuombea awe mzima muda wote.. mafisadi watatamba sana kama zamani
Mkuu upo nje ya swali na mada.Mimi Sina cha kusupport CCM hata lumumba sijui ilipo ila toka tupate Uhuru umewahi sikia kiongozi wa nchi kalazwa Kenya? kwa nini vijana kwa mtazamo wangu wamekuwa na uelewa wa chini kuhusu dunia kiasi hiki?
Nairobi hospital itamtibu nini Magufuli , Mugufuli yuko wapi kwani waandishi wa Tz kazi Yao nini siwatafute njia ya kuwa siliana na Wahusika kupata taarifa ya alipo na watu habalishe, Unafikiri uandishi wa habari ni kuchat tu Instagram, waandishi wa habari wa Tz kwanza hili ni jukumu lenu kutoa challenge kwa fake news za nje.
Wacha urongo wee! Lile kanusho ni fake na wameshangaa nani mpuuzi huyo aliyefanya doctoring gazette lao.Mbona wameshakanusha na kuomba radhi kwa usumbufu. Nadhani ni gazeti la Daily Nation la Kenya.
Mila na desturi zetu waafrika zipo wazi kabisa, sio jambo jema kufurahia matatizo ya mwenzako hata kama ni adui yako. Hasa suala la ugonjwa na msiba sio la kufurahi linapompata binadamu mwenzako.
Wananchi walipiga kura na Ccm ikapata ushindi mkubwa huku rais akipata 84% na wabunge 97% sioni sababu ya kumchukia kiongozi au mwanaCcm akipata ugonjwa au msiba.
Nani kakuambia hafanyi kazi mpka auanze kuhimiza watu wafanye kaziwapi nimeandika naajili?
Eeenh!Mnaotaka kujua Raisi yuko wapi
Yuko kwenye maombi ya siku 40 ya kwaresma kuombea nchi iondokane na Corona .Kama alivyobeba hilo jukumu kipindi cha Corona awamu ya kwanza sasa kaingia maombi awamu ya pili ya kuishinda Corona round hii ya pili.
Waombaji tuungane naye na katika hizi siku 40 za mfungo wa kwaresma tutaibuka washindi sisi na Mungu wetu .Migani na isiyoamini Mungu itabaki midomo wazi na itajua kuwa Yulo Mungu wa Tanzania aliye tofauti na miungu wa nchi zingine.Wa Tamzania ana nguvu kubwa ya kuipiga mateke Corona nje
Design za hawa watu huwa hawafikirii ya kesho ....!!Eeenh!
Yaani hata wewe hujui?
Haya uliyoandika hapa, kesho utayakana na usiyakumbuke kabisa?