Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Wewe ni observer kweli kweli!
πŸ˜€πŸ˜€"Siku ya kufa nyani miti yote huteleza"
 
Nawaomba myatafakari haya na ikiwapendeza, fanyeni maamuzi sahihi before it is too late.

1. Inafika Ijumaa Kuu haonekani kanisani

2. Inafika Jumapili ya Pasaka pia haonekani kanisani

3. Kipindi chote cha sikukuu ya Pasaka haaenda kijijini Kwake kwa mapumziko kama afanyavyo miaka mingine.

4. Sijui mlijuaje mkaahirisha mapema sherehe za Muungano(nilisikia/nilisoma mwaka huu mmezifuta)

4. Inafika siku ya May Mosi pia haonekani au anatuma salama tu.

5. Bahati mbaya mambo yanaharibika (hatuombei), mtaanzaje kusema?

Mkisema, hamtasutwa?

Je, hayo yakitokea, mtakuwa mnaficha nini?

Hakuna anachopitia ambacho wanadamu wengine, wakiwemo wenye au waliowahi kuwa na wadhifa kama wake, hawakuhi kupitia na hata sisi wengine tunaweza kupitia wakati wowote. Hivyo, tumieni akili, uzoefu na busara kufanya kilicho sahihi sasa kabla hamjachelewa.

Anzeni sasa tena kwa kutoa updates kadri inavyowezeka na hakika mtaheshimika na kama kweli ni mzima,pia semeni.


Ni ushauri tu.
 
Okay.

Let me put it this way, you have some thought provoking proposition, but, alas, this is not the place for their deep exploration.

May be some day, we may have a chance for debate on the subject matter.
Great! I got you! Let us breath deeply, and thank the Most High. Blessings. Be blessed.
 
Magufuli ni mzalendo wa kweliiiii , kamwe hawezi kukubali kwenda kutibiwa kwenye hospital za mabeberu au vibaraka wao.

Waliposema yuko Kenya, nikacheka sana hadi secretary kaja kuniuliza kulikoni!? Walipogundua waandishi wanafuatilia Nairobi Hosp. chapchap wakasema kahamishiwa India. Anywezs, hii yote ni dalili kwamba JPM amewasambaratisha vichwa maji hawa. Na mwaka huu wamesahau kuingia kwenye ^chuo cha hakika^ (according to Diamond πŸ™‚ ); na sharti sasa wainame kama wanataka vya uvunguni.
 
Mkuu, wote hao ni kama tu panya waliopo darini, ni nani wa kumfunga paka kengele?
 
Wewe uko wapi? Acheni mizaha wakati ni ukuta ukifika ataonekana.
 
Unadhani Kaka wanawaambia watu watumie malimao lkn wao wakiumwa wanawahi Ventilator sini utapeli wa roho za watu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kaka nimeshangaa sana hadi yanafungwa matanuru ya kujifukizia lakini wakinasa Corona wanawahi kwenye matibabu ya kisasa Nairobi na India pamoja na mitungi mizuri ya oxygen!Ni mambo ya kushangaza sana.
 
Wapinzani mtapata taabuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…