kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Ni wakili msomiHivi huyo Tundu akifunguliwa mashtaka ya upotoshaji umma watakua wanamuonea ? ? ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakili msomiHivi huyo Tundu akifunguliwa mashtaka ya upotoshaji umma watakua wanamuonea ? ? ?
Kenya ni Covid 21.Sasa mbona kelele za Corona zinakuwa nyingi?
Where is he?Kama uliambiwa kuhusu kuugua kwa JN, JK & Mkapa, halafu sasa unaona kimya, ndipo uamini ni uzushi kama uzushi mwingine. Halafu, unasema si kawaida yake kutoonekana kwa muda mrefu. Naona sasa unaishi kimazoea na kwa kukariri maisha. Pole sana. JPM is alive & well!!! Pls mark my words!!!
Where is he?
Huoni kwamba hii dhania inatakiwa kupatiwa majibu?Kosa KUBWA unalofanya ni kudhani kutoonekana kwake public = sickness. Shame on you!!!
Msiwe wakali,kuumwa ni kawaida sio udhaifu .Kosa KUBWA unalofanya ni kudhani kutoonekana kwake public = sickness. Shame on you!!!
Mitano tena ni lazima.Huo ndio upinzani wa bongo... Kushika nchi sio le wala kesho... Bado hatujawa na watu wanaojielewa kama wapinzani
Hata kufa pia ni characteristics of Living thingsMsiwe wakali,kuumwa ni kawaida sio udhaifu .
Yanayoendelea yanastahili kukanushwa.Hatuna sababu ya kukanusha chochote maana hamjathibitisha kitu hapo; mmezusha tuu kama kawaida ya mizuka yenu ya njaa --- weka muziki, acha maneno, sawa!???
Wakanushe nini? We hizi tetesi umezitoa wapi? Utakanusha mangapi? Msigwa yeye kazi yake itakuwa kukanusha tu? Hana kazi nyingine?Hapo sio swala la ubobevu....
hapo ni swala la ruhusa
Hizo kazi nyingine anazofanya zinamzuia vipi yeye kuacha kukanusha habari kama hizi zinazozagaa mitandaoni?Wakanushe nini? We hizi tetesi umezitoa wapi? Utakanusha mangapi? Msigwa yeye kazi yake itakuwa kukanusha tu? Hana kazi nyingine?