Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Kama uliambiwa kuhusu kuugua kwa JN, JK & Mkapa, halafu sasa unaona kimya, ndipo uamini ni uzushi kama uzushi mwingine. Halafu, unasema si kawaida yake kutoonekana kwa muda mrefu. Naona sasa unaishi kimazoea na kwa kukariri maisha. Pole sana. JPM is alive & well!!! Pls mark my words!!!
Where is he?
 
654320978.jpg
 
Unaweza kakuta huyu ana elimu ya PHD, elimu ya bongo ni timing bomb. Duh!
 
Hivi UN wameshindwa kabisa kuingilia kati kinacho endelea Myanmar? Hali tete kila kukicha.
 
Wakanushe nini? We hizi tetesi umezitoa wapi? Utakanusha mangapi? Msigwa yeye kazi yake itakuwa kukanusha tu? Hana kazi nyingine?
Hizo kazi nyingine anazofanya zinamzuia vipi yeye kuacha kukanusha habari kama hizi zinazozagaa mitandaoni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom